WinterSummer
Member
- Nov 5, 2017
- 37
- 32
Haujaelewa nini!?Sijaelewa
Mimi ni Male.nielewe Hivyo kwa Maelezo yangu! Itapendeza.Hutaki kuoa unataka kuolewa?
someka mkuu na avatar yako inapigia mstariMimi ni Male.nielewe Hivyo kwa Maelezo yangu! Itapendeza.
msokotoSasa ndo umeandika nn? Utakuwa umekula cha Arusha!! Tutolee bangi zako hapa JF.
Mods msiruhusu kila uzi, futeni uzi huu.
Naona umezungumzia 'kuwakwaza watu', vipi mkuu kuna watu humu jamvini uliwapropose [emoji3] !Rejea mada tajwa Hapo juu.
Samahani kwa wale nitakaowakwaza kwa maamuzi Haya.nimechukua maamuzi Haya bila kushawishiwa na mtu yeyote.
Hahaha mrs aspirin naona umemjibu kisomi [emoji23]Una
someka mkuu na avatar yako inapigia mstari