BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 481
Ndoa haina fomula, fomula ya ndoa ni jinsi ww mwenyewe utakavyo ipanga iwe hivyo na ukitaka kuiga fomula ya kwangu ukaipeleka kwako ndipo hapo watu wanaona ndoa ni kama zigo lisilo bebeka, lakini basi ukiweka katka fomula yako utaiona ndoa ni nzuri ajabu, kingine ni kuwa sie wanadamu hatujakamilika kila mtu ana mapungufu yake hata ukipanga vyombo kabatini huwa vina gongana hivyo ktk ndoa huwa kuna huo mfumo. mfumo wa kwanza miaka 5 ya mwanzo ndoa inakuwa tamu ajabu, miaka 5-10 misuko suko ya hapa na pale inapishana halafu miaka 10-20 hapo ndipo unajuta ya nn uliolewa/oa ikija tena 30-50 utamu wa ndoa unarudi tena miaka inayofuatia mingine unahisi ndio uchumba umeanza tena mapenzi hayaelezeki na wajukuu teyari basi mwasubiria mungu awatenganishe.
hivyo ndivyo nielewavyo mie kwa ufahamu wangu
hivyo ndivyo nielewavyo mie kwa ufahamu wangu