Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Watu wanachuki binafsi tu na ili kabila labda kwa sababu ni moja ya makabila yaliowahi kuendelea Tz.
dada mmoja,namfahamu ameolewa na muhaya,huyo muhaya hana tabu yoyote ile,ila watu wakimuuliza umeolewa na kabila gani,akisema muhaya,watu wanaguna.huyo dada yeye ni mtu wa morogoro

Kwa wachaga wakizaa mwanaume baada ya siku tatu kutaka kujua MTOTO zimo wanadondosha shillingi alafu wanakaangalia kale kasehemu kama kamestuka sie??

Mwe ngoja nikae mkao wa kula asa hivi 'kabila' langu litaana kujadiliwa katika Bunge hili tukufu.

Hivi wanaume hawaathiriki kikabila?? mbona kila thread mwanamke tu .........mwanamke wa kichagga, wa kihaya, sasa hivi mtatusema sie wandengereko

Kila mtu ataanzisha sredi ya kabila la mwanamke aliyempiga kibuti. Naona ni hasira tu za kuachwa wakati unapenda.

Mwe ngoja nikae mkao wa kula asa hivi 'kabila' langu litaana kujadiliwa katika Bunge hili tukufu.

Hivi wanaume hawaathiriki kikabila?? mbona kila thread mwanamke tu .........mwanamke wa kichagga, wa kihaya, sasa hivi mtatusema sie wandengereko

hahahahaaaa! Just few days if not hours, kabila lako litakuwa on the table ready for discussion! Lol....!

Umejuaje the Boss. Na kwa maandishi huwezi jua kabila la mtu.

Naam NK, ningekwambia utamke ng'ombe, mbung'o au kung'ang'ania lakini nimekutana na wengi ambao matamshi ya maneno haya hayawapi shida kabisa.

hahahahaaaa! Just few days if not hours, kabila lako litakuwa on the table ready for discussion! Lol....!

si usemee tu wale wa Singida wanasifa zao sikuhizi majumbani wahehe cha mtoto akuna anaeenda iringa tangu waanze kujininginiza aku be

Hapo sijakusoma vizuri. Unataka kusema wahaya wanapenda mali za wanaume?? Na research yako sample ni huyo binti??? Eh Pole wahache wenzio wanao enjoy. Kwani wanaume tu ndiyo wenye mali kwenye familia??? Hainiingii akilini. Wewe uliokota tu kasichana ka mjini.

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar kwa hiyo hata nikiongea naongea kama mzaramo. But am so proud that my dady ni mnyambo and mum ni mziba pure. That is why sijaficha kabila langu hapa kwani kwangu it is more than a blessing to be Mnyambo.
Naam NK, ningekwambia utamke ng'ombe, mbung'o au kung'ang'ania lakini nimekutana na wengi ambao matamshi ya maneno haya hayawapi shida kabisa.

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar kwa hiyo hata nikiongea naongea kama mzaramo. But am so proud that my dady ni mnyambo and mum ni mziba pure. That is why sijaficha kabila langu hapa kwani kwangu it is more than a blessing to be Mnyambo.

yaani wewe...
sasa ndo nini kutonijibu hivyo mwanzo?
and i was right,hauko kihaya,uko kinyambo..
you see?

si usemee tu wale wa Singida wanasifa zao sikuhizi majumbani wahehe cha mtoto akuna anaeenda iringa tangu waanze kujininginiza aku be

Alafu wewe.....! Nani wa singida hapa? Shauri yako ngoja wenyewe wakuone.

your greatest enemy is yourself. Kama ulimchukua dada wa kihaya ukakosa hela, ukakosa akili ya maisha, na mbaya zaidi mti huwezi kupiga kisawasawa you are good for nothing, kifuatcho ITV ni zarau tu. Wahaya hatulei ndelema sawa p-didy?? Sawa..... Haya.

Asa kwa nn wanaguna?
dada mmoja,namfahamu ameolewa na muhaya,huyo muhaya hana tabu yoyote ile,ila watu wakimuuliza umeolewa na kabila gani,akisema muhaya,watu wanaguna.huyo dada yeye ni mtu wa morogoro

Afu wewe Basiasi (a.k.a PDiddy) inaonekana uko mbinafsi sana kutokana na hii thread yako. Iweje uone nongwa mkeo mtarajiwa kugundua kuwa umenunua viwanja. Bora umemwacha mdogo wangu ungempa shida wewe na sisi tumezoea matanuzi hatujui shida. Kwa hiyo sasa hivi hati za viwanja umezichimbia kwenye andaki mkeo (wa kabila bora) asizione?

duh

Mpao abakese

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…