Kuoa mwanamke wa kichaga

Nimekutana nao wengi, nimeishi nao, nawafahamu vizuri!

mambo ya bed lazima uwe umefunua yakhe,nilitaka figure uliyotembea nayo ili kufikia conclusion kuwa mambo ya bed ni zero kama ulivyosema??????no research no right to speak!

mambo ya bed lazima uwe umefunua yakhe,nilitaka figure uliyotembea nayo ili kufikia conclusion kuwa mambo ya bed ni zero kama ulivyosema??????no research no right to speak!
hahah,
siwezi kutaja idadi, ni nje ya maadili yetu!
jaribu tu kufanya ka-research kidogo hata hapa JF uulize wanaume waliowahi kutembea na wachaga.
Nina uhakika most of men watakuambia kuwa dada zetu wa kichaga still have long way to go kwenye ishu ya mapenzi!

haya bwana.mie siweza kufanya research humu sababu nimegundua nikiuliza hamna atakayenijibu na ushahidi kuwa katembea na wadada wa kichaga kama wewe ulivyofanya,research yangu naipredict majibu yatatatokana na hearsay so i wont bother hamna majibu!

jamani musiwaseme vibaya wamachame.mimi inaniuma coz nina rafiki yangu humu ndani ni muma*** so hata yeye atakua hajisikii vizuri mnavyosiliba wama***.wekeni nyota **** badala ya jina.lakini wama*** wanafaa sana.coz wanajishughulisha,wanajua mapenzi,ni wasafi na wakalimu.big up ndg zangu wama***.ni hayo tu.mia

waongo wote sehemu yao ni lile ziwa liwakalo moto subiri uone kama wewe na mkeo ingawa sio mmachame nani ataanza kufa. ovyoooooooooooooo

na we mmachame nn?

vipi wanawake wa kibosho?mwenye kuwajua vzr tabia naomba anijuze tafadhali..nataka nikawekeze huko..
Wakibosho ni opposite ya wamachame! Hawa ni wachaga wenye bifu toka zamani! Ukutaka kujua tabia za Wakibosho, Chukua tabia za wamachame, then opposite yake ndio tabia za wakibosho!
Nafikiri nitakuwa nimekujibu

Bugumya....pole kwa changamoto hii lakini kumbuka palipo na ukweli uwongo hujitenga.......so kama una uhakika hayo yanayowatisha ndugu zako juu ya mchiumba wako nsi ya ukweli basi wewe tii kiu yako. Akiwa tofauti na vile wanavyomfikiria sasa si ajabu wakampenda kuliko hata wewe mwenyewe. Hujawahiona watu wanampiga marufuku mtu lakini baadae anakuwa kipenzi?? Maisha mafupi tii kiu yako wacha kuwaza yatakayojiri baada ya wewe kufa...after rall hutokuwepo!!

Reactions: Mbu
Wakibosho ni opposite ya wamachame! Hawa ni wachaga wenye bifu toka zamani! Ukutaka kujua tabia za Wakibosho, Chukua tabia za wamachame, then opposite yake ndio tabia za wakibosho!

Nafikiri nitakuwa nimekujibu

upo ryt kabisa hawa hawapatani.

Am proud to be MACHAME! I pity u kwa jinsi ulivyo bado ktk zile zama za ulimbombo na ulindi!

haah haaah kuumbee! Ok bt umekubaliana na nilichosema?!

haaah haaah calm down dada. Si lengo langu kukukwaza bt nilichosema ndio ukweli! Na kwan matatizo yote niliyotoa hukuyaona umekazania hapo kwenye kuua tu!

Hv unafikiri watu hawajui mambo yenu?
Mm nawapongeza tu kwa kutafuta pesa hapo mko juu hata pale himo wamama wengi wana biashara kubwa kubwa tu bt uliza waumezao utaambiwa wameshakufa!
Najua unakataa kwa kuwa ww ni mmachame kwenye ukweli na ninachoamini nitasema!

kumbe na ww ulishawah kusikia eenh?! So mm sio wa kwanza kusema haya. Ok lisemwalo lipo.
Na abt hili hakuna asiyejua!

Naona wadada wa kimachame mmechachamaa!!! i like ur attitude,

Hizi mila za makabila kutooana zilikuwa ni za zamani,

sasa hivi mambo yamebadilika!

Wanawake wa kimachame hawatambuliki tena kama WAPALESTINA!

haaaah haaaah haaah uwiiiii umenikumbusha hilo jina WAPALESTINA haaah haaah dah!

Wakibosho ni opposite ya wamachame! Hawa ni wachaga wenye bifu toka zamani! Ukutaka kujua tabia za Wakibosho, Chukua tabia za wamachame, then opposite yake ndio tabia za wakibosho!
Nafikiri nitakuwa nimekujibu

Nikakutana na Mmarangu mmoja ambaye ana kamshahara kake alikoanza kukapata last september!! tukapendana!! Loh...!! nilichokipata sina hamu!! Utadhani mjeshi!!kila kitu anajua yeye,yeye ndo mjanja,yeye ndo mwenye akili,yeye ndo mfalme!! Isiwe shida mama,na pesa zako nendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Duh niliambiwa kuhusu marangu nikabisha!!

Nyie watu mbona mnanipa mawazo kichwani mwangu?? Hivi kuna tofauti yoyote kati ya
1. Maisha ya ndoa kati ya wanawake wa kimachame na wanawake wachaga wengine?
2. Tfauti yoyote ya kimalezi (especially watoto wa kike) wa kimachame na wachaga wengine??

Natamani kujua kama wamachame wa kiume wanaongoza katika kuwatelekeza wake zao kule mndenyi kulinganisha na wachaga wengine kwani inawezekana ikachangia kwa kuwa watoto wanakua wakimwona mama ndo incharge huko kijijini na (pengine anakuja kuw afrustrated na mume kiasi cha kuwainfluence watoto wake wa kike kuwa 'mwanaume si wa kumchekea' ......hali ambayo hujengeka kichwani kwa binti mpaka inakuwa kama hulka

Natamani ningewezapata taarifa hizi otherwise .....nimejivika lile joho la 'No research, no right to speak'!

Issue ya jamaa yetu ni moja tu. Stereotype kuwa W...ga wanaangalia maslahi kuliko kitu kingine katika mahusiano. Wasi wasi wake ni halali maana Toto la Joka nalo Joka tu.
Pamoja Daima

hahahaaaa, tindikali inaonekana wewe si mbantu, yaani unashindwa kuelewa hilo jina ni pande zipi? you can just guess, lol sitaki mangumi mie

dah ila na nyie wachaga hapana bana,badilikeni basi kwanini ninyi tu ndo msemwe?

Kaka siku hizi makabira ni majina ,tu kuna dada wa kichaga namjua mambo yake ni pure mzaramo.Wewe ndiye muoaji hauoi ukoo.kama unaona anafaa beba mzigo

mkuu hawa wamachame kwao ni mila yao so kama vp oa ndo utajua mana ni wajanja kabla ya ndoa hawajionyeshi wanakua wanaku care kwa namna zote na hata pesa zake utakula nia yake akuvute umuoe.
Na ukishamuoa imekula kwako. Na smtym anakua hana nia ya kufanya kwel bt kwa ushawish wa ndugu zake kuwa mmalize jamaa urudishe mali nyumbani wana mshawishi mpaka mke anakubali.
Anko wangu mm yamemkuta haya!

Mwe sikubishii Mpatanishi bahati mbaya nina kiherehere cha kujua chanzo zaidi ya ushuhuda. Kwa nini wamachame, kwa nini wawe hivyo, je kunasocio-cultural factor yoyote inayopelekea wao wawe hivyo??

By the way, ni wamachame wa kike tu wenye matatizo au hata wanaume wao maana mie binti, kigori so naolewa si kuoa Mpatanishi.\ kaka yangu

Pole kwa mjomba

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…