Kuoa mwanamke wa kichaga

hii 2011 jamani, hiyo familia bado ipo kwenye miaka ya 47.......na vigezo walivyokupa vya kutokuoa mchaga ni vipi...kazi kweli kweli kwenye jamniii zetu.

unawajua wamachame ww?!
 
kama kuna ****** au mzaramo humu anipm basi.nataka wa humu humu jf

Hilo kabila la Star 🙂🙂🙂 ni kabila gani bebii!? hahahahaha lol!
 
ukabila TZ! Eti unapenda kwa kigezo cha kabila!pity u..
 

Mkuu nakupa ushauri huu zingatia.
sijajua huyo mwanamke ni mchaga wa wapi mana wachaga wanatofautiana.
Kama ni mmachame usithubutu kabisa kumuoa tena kimbia na umkwepe haraka.

Tabia yao.
Wachapakazi na watafutafutaji wazur wa pesa, wasimamiz wazuri wa biashara na wanakua na mapenz mazito kabla hujamuoa.

Matatizo.
Wanapenda sana kuwa viongoz wa familia, i mean utakua chini mkeo kwa kila kitu.
Wabishi,wagomvi na wanajua kupigana i mean ukileta za kujua anakudunda.

Mwisho kabisa ambalo ndio kuu ni kwamba hawa wana tabia ya kuua wanaume ili tu warithi mali. I mean mtatafuta pamoja bt mkisha zipata tu lazima akuwahishe na akikuonea huruma sana anakupoozesha upande mmoja wa mwili unakua mtu wa kutulia ndani tu.
Anko wangu yamemkuta hayo.
Kila la heri.
 
vita ni vita muraa inabidi uoe mkurya mwenzako mchaga ataweza vita kweli?
 
waongo wote sehemu yao ni lile ziwa liwakalo moto subiri uone kama wewe na mkeo ingawa sio mmachame nani ataanza kufa. ovyoooooooooooooo
 
Bebiii umeona eehhh. Huyo jamaa anajustfy kitu ambacho ni unjustfiable. Anajaribu kuleta story za kizamani miaka hiyo tena za kutunga ili kuwazibia watu riziki zao
 
Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.
Nashangaa mmekulia mjini, mmejichanganya lakini badooo kabisa!

mmh jaman tunajitahidi suk hizi mtupe basi hata wasifu wetu
maana hao wazaramo sidhani hata kama wapo humu jF (natania) sifa za kukatika kila siku zao nasie twastahili jamni tupeni hata progress ya improvement tu basi ...lololh
 
<br />
<br />
kweli wadada wa kichaga tuna rock! Wanatupenda, wanatuogopa, hapo chacha! ILA MWATAKIWA KUJUA MWANAMKE MMOJA WA KICHAGA ANAUWEZO MKUBWA KULIKO WANAUME 5 WA KABILA ZINGNE KTK MAAMUZI NA UZALISHAJI MALI.

yani tupo sokoni vibaya mno mpaka kerooooooo
 
<br />
<br />
ni MROMBO kaka,thanxs sana kwa ushauri mzuri mkuu
 
waongo wote sehemu yao ni lile ziwa liwakalo moto subiri uone kama wewe na mkeo ingawa sio mmachame nani ataanza kufa. ovyoooooooooooooo

Lahaula! Asa atajustfy vipi hii mtu wangu si atakuwa ameshafariko?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…