high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,942
- 2,183
kama umepata humuhumu funguka sasa uwaeleze wadau kuwa tabia yake ikoje uili uwanusuru watu maana weng wameishia matatizo
Ndowa ni kutia mkono kizani kwa hivyo vyovyote ni sawa tu. Ndowa ya mtandao inaweza ikadumu na ile ya kuzooeana na kuingilia ikafeli!kila siku ukitembelea mitandao utakuta huyu anatafuta mchumba mke au mme hawa watu wakati mwingine vigezo vingi vingine hazina hata msingi wowote kama dini,rangi,ukabila,umri wakati kama mwanamke anatafuta mme umri wake ni 30 yrs anataka 25yrs kuna nn wameendekeza haya mambo ndi maana hawapati na wameshindikana au wadau munasemaje nyie
kila siku ukitembelea mitandao utakuta huyu anatafuta mchumba mke au mme hawa watu wakati mwingine vigezo vingi vingine hazina hata msingi wowote kama dini,rangi,ukabila,umri wakati kama mwanamke anatafuta mme umri wake ni 30 yrs anataka 25yrs kuna nn wameendekeza haya mambo ndi maana hawapati na wameshindikana au wadau munasemaje nyie