Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 564
- 1,567
Wa wiliUnawatoto wangapi sasa
57 kutoa 30 ni 27 mkuu sio 17. Hiyo 27 kama hajajua tu kujitegemea basi apambane tu na hali yakeKuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.
Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.
ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
Faida za kuwahi kuoa na kuzaa ni nyingi na Credible /dhahili kuliko faida za kuchelewa kuoa au kuzaa ambazo nyingi ni ProbabilityKuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.
Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.
ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
Naweza kuamini , pana kiasi fulani cha ukweli, Naomba ni kuulize , wewe jamii yako ni ipi ? ya kitajiri/kifahari au kimasikini ? kama ww ni mTZ na unaishi TZ na familia yako hata kama wewe ni tajiri/ msomi/fahari bado uko kwenye jamii maskini RISK za maisha yenu bado ni zile zile.Kuwahi kuoa au kuolewa ni tabia za jamii masikini.
shida si kuwahi ama kuchelewa kuoa shida ni PESA.Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.
Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.
ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
Naweza kuamini , pana kiasi fulani cha ukweli, Naomba ni kuulize , wewe jamii yako ni ipi ? ya kitajiri/kifahari au kimasikini ? kama ww ni mTZ na unaishi TZ na familia yako hata kama wewe ni tajiri/ msomi/fahari bado uko kwenye jamii maskini RISK za maisha yenu bado ni zile zile.
Mwisho nakushauri uwahi kuoa na kuzaa BORA SANA kuliko kuchelewa
Age yakoWa wili
50-30=20 mkuu50-30 = 27, sio 17, mtoa maada una stress za tecno
Haki vile nimetumia scientific calculator jibu imenipa hilo mkuu, na hata ukihesabu vidole/visoda jibu n hilo blv me50-30=20 mkuu
Ukweli usio na chembe ya MASHAKAUnadhani kuna MTU hataki kuoa au kuolewa?? Yaan kutafuta demu ni kazi rahisi sana ila mke ni ngumu Sana usidanganywe na mpumbavu yeyote asiye na ndoa kwa neno kujipanga, hupenda kusema tu ila wamekosa wake, yaan ukipata mdada ukamwambia nikuoe akubali na hana tatizo basi wewe uko perfect, ila vijana wengi hamko perfect kuanzia appearance had performance ndio maana mnapata mademu wake hampati,
NB. Uchumi sio tatizo kwenye ndoa, tatizo ni tabia.