kunyweni tu lakini...!

Hii inakumbusha utotoni nlikuwa nikisikia eti Mikate wakikanda Bekari eti wanakanda na Miguu.

Yaani Nyayo zinatimba timba, zinakanyaga kanyaga. Eti ndio kukanda kwenyewe.

Na sijapata ufumbuzi mpaka hivi leo.

Hapa nazungumzia zile Bekari zetu za Uswahilini.

Sasa sijui ni kweli, au yalikuwa ni maneno ya kuongopeana!
 
Kuna vitu vingi sana unatumia vinawekwa vya ajabu kuliko hicho co its better kutojua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…