Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Unavuta bangi bar?Bapa moja ya konyagi,bangi mbili na sigara moja halafu napita hivi...
Utaskia kaka kaka niachie hata ya bia 2..
Kuna diwani kama sikosei ni Kawa road miaka hiyo alikunywa akajikuta anatapika bar kumbe watu wamefanya yao watu kuja kugundua baada ya kumuona paka naye amekata moto baada ya kula matapishi ya mzee baba katika maisha unaweza hisi wote wanakupenda kumbe hao hao wanakupenda ndio wanakupenda Zaid u R.I.PMimi huwa naacha bia mezani bar nakwenda nyumbani kula kisha narudi baada ya masaa mawili naipigi bila shaka na huu ni mwaka wa 20 nakunywa bia
Bangi kete mbili kabla ya yote, then big G kama tatu, maji nusu lita, samaki wa kuchomwa na limao au supu ya ng’ombe ya jioni halafu limao nyingi, konyagi ndogo au vant ndogo huku natafuna korosho au karanga mbichi, mfuko ukiwa vyema grants, JD, black&white au red label, najikataa asubuhi, nakunywa maji lita moja, matunda kidogo kama chungwa na ovacado maisha yanaanzia hapoBapa moja ya konyagi,bangi mbili na sigara moja halafu napita hivi...
Utaskia kaka kaka niachie hata ya bia 2..
Yaan umeshauri kama mtu anakunywa maji yq kunywa...unaijua pombe wwUkiwa Club jitahidi sana kunywea beer kwenye chupa na uishike popote unaposogea. Usimuachie kinywaji mtu unless ni mtu ukiyekuja nae na una muamini...
Kwanini?Aisee.. sema kunywea beer nyumbani ni risk zaidi🤓🤓
Yap Bangi inawekwa glucose,mwita,asali au kapange hapo hakuna harufu.Unavuta bangi bar?
Yap Bangi inawekwa glucose hakuna harufu...
halafu me sihamagi bar na nikinywa wiki tu,mpaka meneja au mwenye bar tutajuana kwa vibweka ntakavyofanya humo ndani.
Hata najua basi.. mi niko nalewa hapaKwanini?