kunywa pombe ili uache pombe

kunywa pombe ili uache pombe

fasam

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
12
Kumbe kweli dawa ya moto ni moto
 

Attachments

  • IMG_20150405_123357.jpg
    IMG_20150405_123357.jpg
    776.9 KB · Views: 1,023
Mkuu na huyu anataka aache pombe
 

Attachments

  • 1428229521995.jpg
    1428229521995.jpg
    58.8 KB · Views: 456
kitu Balimi hiyi...inapatikana kanda ya ziwa tuu, uliza sasa alkoholi yake
 
Kumbe kweli dawa ya moto ni moto



attachment.php


"Siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo"
Hawa ndio Bwana YESU Kristo aliwasema katika Biblia kuwa Watakuja Madabii wa Uongo nao watadanganya watu watu wengi na ndio hawa tunao waona kwa sasa .

Mathayo: 15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom