H Homer Member Joined May 26, 2011 Posts 99 Reaction score 22 Mar 14, 2012 #1 eti ni salama (for hydration) kama umekosa maji ukiwa porini. Hivyo ndivyo anashauri Bear Gryll wa Discovery Channel: Bear Grylls drinks his own urine (Kimberlies, Australia) - YouTube Je, hao bacteria na madudu mengine kwenye mkojo si yatakulipua tumboni? http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2030259/pdf/brmedj03419-0046.pdf
eti ni salama (for hydration) kama umekosa maji ukiwa porini. Hivyo ndivyo anashauri Bear Gryll wa Discovery Channel: Bear Grylls drinks his own urine (Kimberlies, Australia) - YouTube Je, hao bacteria na madudu mengine kwenye mkojo si yatakulipua tumboni? http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2030259/pdf/brmedj03419-0046.pdf
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,054 Reaction score 617 Mar 14, 2012 #2 Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu
Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu
C cheichei2010 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 932 Reaction score 351 Mar 14, 2012 #3 hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji..
hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji..
H Homer Member Joined May 26, 2011 Posts 99 Reaction score 22 Mar 14, 2012 Thread starter #4 Kibukuasili said: Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu Click to expand... Nimeiona kwenye wikipedia: 'amaroli' Urine therapy - Wikipedia, the free encyclopedia Huu ni ujinga, full stop. Ukisoma sana maelezo yao unaweza ukawaamini hivi hivi ... Lakini kimtokacho mtu ni najisi ...as always.
Kibukuasili said: Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu Click to expand... Nimeiona kwenye wikipedia: 'amaroli' Urine therapy - Wikipedia, the free encyclopedia Huu ni ujinga, full stop. Ukisoma sana maelezo yao unaweza ukawaamini hivi hivi ... Lakini kimtokacho mtu ni najisi ...as always.
H Homer Member Joined May 26, 2011 Posts 99 Reaction score 22 Mar 14, 2012 Thread starter #5 cheichei2010 said: hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji.. Click to expand... Umenikumbusha London ya zamani " alcohol was safer to drink than the water". I suppose it's still true kama unasafari za vijijini na mikoani kwenye uhaba wa maji safi?
cheichei2010 said: hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji.. Click to expand... Umenikumbusha London ya zamani " alcohol was safer to drink than the water". I suppose it's still true kama unasafari za vijijini na mikoani kwenye uhaba wa maji safi?
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Mar 14, 2012 #6 mkojo wa wabongo full ma UTI
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Mar 14, 2012 #7 Kichwa Ngumu said: mkojo wa wabongo full ma UTI Click to expand... kwani mkojo wa watu wa mataifa mengine umejaa asali?
Kichwa Ngumu said: mkojo wa wabongo full ma UTI Click to expand... kwani mkojo wa watu wa mataifa mengine umejaa asali?
nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 408 Mar 14, 2012 #8 hata mlevi anywe mkojo weke? mmh.....
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Mar 15, 2012 #9 Kuna wakati utafika watu wataambiwa wale visivyofaa vinavyotokana na miili yao kwa sababu tu ni therapy au dawa ya ugonjwa sugu
Kuna wakati utafika watu wataambiwa wale visivyofaa vinavyotokana na miili yao kwa sababu tu ni therapy au dawa ya ugonjwa sugu