Kiutaratibu tulitakiwa tusiyachemshe. Mwenzenu wakati ya shule ya msingi na sekondari, nakumbuka tulikua tunakunywa maji ya bomba, yalikua matamu, baridi na salama, naongea miaka ya lmwisho ya sabini na themanini.
Nini kimetokea baada ya hapo?
Nasikia mhusika mkuu mgonjwa, ila Mkuu wa Nchi naye kama kawaida yake hawezi kufanya "maamuzi magumu" kama wenzake wasemavyo, kwaio wizara imekaa tu, ovyoovyo, kama "headless chicken", haijui kama inakwenda mbele wala kurudi nyuma, wizara ya maji ipo kwa jina tu, na DAWASCO, wanatesa watakavyo.
Sijui tuanze maandamano yakutaka kusambaziwa maji nchini? Hela tunayo, leteni maji!