Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
nashukuru sana mkuu mimi nipo arusha, ila tatizo langu bado halijaisha japokuwa unywaji wa maji nimepunguza, cyo kama nilivyokuwa nakunywa mwanzo, ungeniagizia kwa huyo doctor ningeshukuru sana mkuu
Pole kwa kuendelea kuumwa, ngoja nikusaidie, nitajie vifuatavyo:
a) Jinsia yako
b) Uzito wako na
c) Urefu wako
Halafu nitakuja haraka kukupa maelezo ya ziada. fanya hivyo usichelewe.