Kunyonyana ni kipaji

Huwa mnajidai na videnda denda uchwara mnavyoiga kwenye Isidingo, acheni hayo bwana kuna watu wanajua kupiga denda bwana, mtu anayonya mtu mpaka mate yote yanakauka. Hili ndilo denda bwana
 
Wanandugu wa bibiharusi wajiandae kumchangia ndugu yao mchango wa mate ,,maana akimaliza hapo lazima akaongezewe dripu ya mate,,,hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
we muache tu ye kutwa anashinda jukwaa la wakubwa.....

hilo denda ni hatare unajua Mr Rocky nashindwa kulopatia pozi.........

yaani ni balaa mpaka jamaa mashavu yamebonyea kwa anavyolivuta sijui ndo mara yake ya kwanza kwa huyo bibie grafani11 kahamia kule sijui kaambiwa kuna siri gani ya urembo kule
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…