Mkuu mm ishawahi nitokea zaid ya mara 4 nanyolewa usku na alieninyoa simuon hay mambo yapo na kuna sku naamka asubuhi nimepgwa chale zaid ya 10 mwiliniKama ambavyo kuna sumu au dawa haswa za anticancer zinazoweza kumfanya mtu akanyinyika nywele zote hadi vinyusi....
Je? Haiwezekani zikawepo kemikali na dawa nyingine zinazoweza kupelekea kunyonyoka sehemu au nywele zote.?
Kemikali hizo zinaweza kuwa;
Dawa
Vipodozi
Viuatilifu vya mimea
Kemikali za kwenye migodi
Vichafuzi kwenye hewa
Vichafuzi kwenye maji, ardhi, mimea, chakula etc.
Sumu za kuhifadhia mazao
Mwitikio wa mwili usio kawaida, mzio
Etc
Shambulizi la 'free radicals'
Lishe upungufu wa madini
Magonjwa
Etc
Nadharia yangu ni zinanyonyoka na si kunyolewa ndio maana hukuti zimekatwa mahala bali unakuta peupe ni kama upara, kuanzia kwenye mizizi na ndio maana zinachelewa kuota maana muda mwingine madhara yameanzia kwenye 'hair follicles.
Kwenye chale hapo sina la kusema sina nadharia mbadala.Mkuu mm ishawahi nitokea zaid ya mara 4 nanyolewa usku na alieninyoa simuon hay mambo yapo na kuna sku naamka asubuhi nimepgwa chale zaid ya 10 mwilini
Wanampelekea mama yake Monica wa UMUGHAKA a.k.a Mkurya halisiWakuu habarini za weekend!
Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa muda mrefu. Hizi nywele huwa zinapelekwa wapi!?
Hapna hakuna kbsa mkuu 99% ni ushirikina brohKwenye chale hapo sina la kusema sina nadharia mbadala.
Lakini kwenye kunyolewa hivi umejaribu kuchunguza kama upo mazingira yenye vyanzo vya sumu na kemikali?
Au ni panya tu wanachanja watu kwa meno yao makali kama wembe? Haahaaa... uchawi upo na wanafanya hayo yote tuache hoja nyepesi nyepesi.Hakunaga wachawi wa kunyonyoa watu nywele wala kuchanja chale watu usiku. Wabatu wasipoelewa kitu husingizia uchawi.
Bila picha Uzi ni BatiliWakuu habarini za weekend!
Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa muda mrefu. Hizi nywele huwa zinapelekwa wapi!?
Hakuna wachawi wanaochanja na kunyoa watu nywele. Ujinga ndiyo hufanya watu kuamini hivyo.Au ni panya tu wanachanja watu kwa meno yao makali kama wembe? Haahaaa... uchawi upo na wanafanya hayo yote tuache hoja nyepesi nyepesi.
Usikute wewe ndio CHAWI LENYEWE unajaribu kupoteza mjadalaHakunaga wachawi wa kunyonyoa watu nywele wala kuchanja chale watu usiku. Wabatu wasipoelewa kitu husingizia uchawi.
Acha uchawi. VINGINEVYO UTAKUFA MDOMO WAZI.Hakuna wachawi wanaochanja na kunyoa watu nywele. Ujinga ndiyo hufanya watu kuamini hivyo.
Wakuu habarini za weekend!
Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa muda mrefu. Hizi nywele huwa zinapelekwa wapi!?
Mkuu sidhani kama ni hzo kemikali,maana kwa mwingine ambaye ni mwanamke yy ilishamtokea zaidi ya mara moja na mara ambapo mara ya kwanza nywele hazikuonekana kabisa ila mara ya pili alizikuta nywele kitandani.Kama ambavyo kuna sumu au dawa haswa za anticancer zinazoweza kumfanya mtu akanyonyoka nywele zote hadi vinyusi....
Je? Haiwezekani zikawepo kemikali na dawa nyingine zinazoweza kupelekea kunyonyoka sehemu au nywele zote.?
Kemikali hizo zinaweza kuwa;
Dawa
Vipodozi
Viuatilifu vya mimea
Kemikali za kwenye migodi
Vichafuzi kwenye hewa
Vichafuzi kwenye maji, ardhi, mimea, chakula etc.
Sumu za kuhifadhia mazao
Mwitikio wa mwili usio kawaida, mzio
Etc
Shambulizi la 'free radicals'
Lishe upungufu wa madini
Magonjwa
Etc
Nadharia yangu ni zinanyonyoka na si kunyolewa ndio maana hukuti zimekatwa mahala bali unakuta peupe ni kama upara, kuanzia kwenye mizizi na ndio maana zinachelewa kuota maana muda mwingine madhara yameanzia kwenye 'hair follicles.
Nimechunguza visa vingi vya watu, unaweza fikiri ni panya au mikwaruzo inayotokana na kazi, lakini chale hizo zinaonekana kuwa systematic, unakuta mtu amechanjwa chale 3 mkono wa kulia na 3 mkono wa kushoto, hivyo hivyo miguuni. Hapa lazima ujiulize yawezaje kutokea hilo? Mwingine amenyolewa sehemu 3 kichwani, mbele katikati na kisogoni, unasemaje?Hakuna wachawi wanaochanja na kunyoa watu nywele. Ujinga ndiyo hufanya watu kuamini hivyo.
acha kupotosha watu, ukikua ndio utafahamu mleta mada ana maana gani ngoja leo tuje kukunyoa halafu sema ni vipodozi.Kama ambavyo kuna sumu au dawa haswa za anticancer zinazoweza kumfanya mtu akanyonyoka nywele zote hadi vinyusi....
Je? Haiwezekani zikawepo kemikali na dawa nyingine zinazoweza kupelekea kunyonyoka sehemu au nywele zote.?
Kemikali hizo zinaweza kuwa;
Dawa
Vipodozi
Viuatilifu vya mimea
Kemikali za kwenye migodi
Vichafuzi kwenye hewa
Vichafuzi kwenye maji, ardhi, mimea, chakula etc.
Sumu za kuhifadhia mazao
Mwitikio wa mwili usio kawaida, mzio
Etc
Shambulizi la 'free radicals'
Lishe upungufu wa madini
Magonjwa
Etc
Nadharia yangu ni zinanyonyoka na si kunyolewa ndio maana hukuti zimekatwa mahala bali unakuta peupe ni kama upara, kuanzia kwenye mizizi na ndio maana zinachelewa kuota maana muda mwingine madhara yameanzia kwenye 'hair follicles.
Yaani mtu mzima unaamini kuna wachawi wanakuja usiku na kukunyoa nywele!!?acha kupotosha watu, ukikua ndio utafahamu mleta mada ana maana gani ngoja leo tuje kukunyoa halafu sema ni vipodozi.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Duh[emoji849]Ukinyolewa ndio ushafanywa kafara inayoishi. Kuna mahala hizo nywele zimeenda kutumika na kwa maana nyingini aliyenyolewa kuna sehemu anatumika kiroho
Luka 12: 7
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi.
Mambo ya Walawi 19:27
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.