Sote au baadhi ya jamii wakifiwa na mtu wao wa karibu huwa wanaambiwa au hunyoa kipara. Sisi tuliambiwa maana yake mzimu wake usije ukawa unakula na sisi. Hadi kuleta uzi huu maana hali ya kunyoa kipara msibani sijajua. Karibuni kwa michango.
Hapa umenigusa nina kipara kimeanza kijingajinga basi nimestuka baada ya kuacha nywele kwa muda kidogo wife akanistua aliponiambia unakipara dah noma japo nilikua napiga dongo full time ila now ndio kabisaaa kila baada ya siku mbili lazima wembe upite