Kunyimwa tendo la ndoa

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,170
Reaction score
3,022
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.

Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi?

Kwa kweli swala hili linakera sana sana nilitamani kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishauri nisifanye hivyo, ninyi wanawake kwanini mnafanya hivyo?

Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi

Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia

Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
 
Ishanitokea siku kile kitendo kikiniuma
 
prof apo utakua unataka kuparamia kama baiskeli ndo mana....kama ni mke inabdi umuandae ki akili awe sawa..usimuudhi sku iyo....apumzike.....siku iyo ata nguo unamsaidia kufua huku ukijua jioni ni kuneemeka na papuchii
Asante sana Huu ndo ukweli japo hata asipofua lkn kuna ile aina Fulani ya kuchombeza na kubembeleza na ajitahidi kutomuudhi hisia zitashuka tu na kuja kuzipandisha tena ni ishu
 
Ina maana hakuna ke wanaofanya tendo kila siku??
 
Dahhh kapeace hali ya hewa hii barid kali.. mvua... lazima na mwenzangu ahisi kama mimi ninavyohis kuhitaj joto.... inakuwaje yeye asitake joto...?
 
Wanawake wa 'leo' mmeota sugu...bila kuandaliwa masaa mawili na bila kushushia glass 4 za wine basi vyuma havilegei....
 
Nmekuelewa vzur sana Bi-dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…