TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Tatizo Lissu siyo wa chuggaMbowe kashindwa kuongoza,namuona Lissu akiwa mstari wa mbele
The hell, Mimi siandamani Unanifanyia Ushenzi, kesho Ndege yako inapigwa na Radi, zinaimbwa nyimbo za Komba! I damn would not play na wahuni. They dare to act without worrying about the consequences! I will do the same ten times over! Siku zote mhalifu akiona consequences za uhalifu wake anashika adabu!Mangi povu lako siyo la kitoto, Andamana basi wewe kama unaweza
Sasa povu la nini mangi, hao unaowatolea povu kila siku humu kwanini usiwatumie radi ukamalizana naoMimi siandamani Unanifanyia Ushenzi kesho Ndege yako inapigwa na Radi, zinaimbwa nyimbo za Komba! I damn would not play na wahuni.
I thought u were smart, hasara gani nitumie muda wangu kubishana na wewe, I mean seriously!Sasa povu la nini mangi, hao unaowatolea povu kila siku humu kwanini usiwatumie radi ukamalizana nao
Chadema wanasubiri huruma zetu wakati siye tunasubiri kwanza ujasiri wao.Kila kukicha, Viongozi wa Chadema Wanakamatwa kama kuku lakini wako Kimya. Wakamatwa wakisalimia mtu, Wanakamatwa hata wakitazama Daraja likijengwa, Wanakamatwa wakisimulia Ndoto, Wanakamatwa Wakitoa pole Msibani. Wako tu kimya kama Makondoo!
Wanasukumizwa Kama Mbwa Kutoka Bungeni, Mwenyekiti wa chama pinzani kwao, anaagiza wasukumizwe nje ya Bunge ili adeal nao, kuna dhana Tanzania kwamba Unapokuwa Rais nchi inakuwa ni mali ya mama yako na chama chako.
Chadema Wanashindwa Kutumia Mandate waliyo nayo sasa ya Kuwa na Wabunge karibia 100 na Kutawala karibu Majiji yote Makubwa nchini, wakidhani kuna Wakati mwafaka. Anayekudhulumu kisiasa Tumia akili Mdhulumu 10 times over! Lakini Ninyi hamsikii Ushauri wa Mtu! Mnatakiwa Mtumie Marafiki wa Ndani na nje kutumia Nguvu za ajabu dhidi ya yeyote anayewaonea au kuwahujumu kisiasa! Lakini kwa akili sana!
Time is not in Yall side guys! He who shay away from self defense will soon cease to exist!
Lowassa asiwadanganye ati watulie 2020 Watashida. Kwa Mtindo huu 2020 watavurugwa kihuni watabakia wabunge 6 out of 100. I wish I was CHADEMA chairman for 6 months! Ningekomesha hawa washenzi. Mwonezi usiporeact anaona yupo justified, ukireact kwa nguvu ya kumtoa damu puani anaona kosa lake, ( A bloody nose, will teach a bully a lesson) Hivi Urafiki wa Lowassa na Uhuru Kenyatta anautumia kwa Manufaa Gani? I wish these guys Listen, wataingia Kaburini na Dharau zao!
Lissu ana ulemavu usioonekana kwa macho hawezi kuwa kiongoz mzuri.uongoz ni hekima na busara.sio ujuaji na usomi pekee.lissu abaki kuwa mwana harakati tuu.HANA HEKIMA NA BUSARA ZA KUONGOZA TAASISI KUBWA KM CHADEMA.Mbowe kashindwa kuongoza,namuona Lissu akiwa mstari wa mbele
Kama mzee makinikia?Lissu ana ulemavu usioonekana kwa macho hawezi kuwa kiongoz mzuri.uongoz ni hekima na busara.sio ujuaji na usomi pekee.lissu abaki kuwa mwana harakati tuu.HANA HEKIMA NA BUSARA ZA KUONGOZA TAASISI KUBWA KM CHADEMA.