Kunyanyaswa kwa CHADEMA ni kutokana na hofu na ujinga wao!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Kila kukicha, Viongozi wa Chadema Wanakamatwa kama kuku lakini wako Kimya. Wakamatwa wakisalimia mtu, Wanakamatwa hata wakitazama Daraja likijengwa, Wanakamatwa wakisimulia Ndoto, Wanakamatwa Wakitoa pole Msibani. Wako tu kimya kama Makondoo!

Wanasukumizwa Kama Mbwa Kutoka Bungeni, Mwenyekiti wa chama pinzani kwao, anaagiza wasukumizwe nje ya Bunge ili adeal nao, kuna dhana Tanzania kwamba Unapokuwa Rais nchi inakuwa ni mali ya mama yako na chama chako.

Chadema Wanashindwa Kutumia Mandate waliyo nayo sasa ya Kuwa na Wabunge karibia 100 na Kutawala karibu Majiji yote Makubwa nchini, wakidhani kuna Wakati mwafaka. Anayekudhulumu kisiasa Tumia akili Mdhulumu 10 times over! Lakini Ninyi hamsikii Ushauri wa Mtu! Mnatakiwa Mtumie Marafiki wa Ndani na nje kutumia Nguvu za ajabu dhidi ya yeyote anayewaonea au kuwahujumu kisiasa! Lakini kwa akili sana!

Time is not in Yall side guys! He who shay away from self defense will soon cease to exist!

Lowassa asiwadanganye ati watulie 2020 Watashida. Kwa Mtindo huu 2020 watavurugwa kihuni watabakia wabunge 6 out of 100. I wish I was CHADEMA chairman for 6 months! Ningekomesha hawa washenzi. Mwonezi usiporeact anaona yupo justified, ukireact kwa nguvu ya kumtoa damu puani anaona kosa lake, ( A bloody nose, will teach a bully a lesson) Hivi Urafiki wa Lowassa na Uhuru Kenyatta anautumia kwa Manufaa Gani? I wish these guys Listen, wataingia Kaburini na Dharau zao!
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Mangi povu lako siyo la kitoto, Andamana basi wewe kama unaweza
The hell, Mimi siandamani Unanifanyia Ushenzi, kesho Ndege yako inapigwa na Radi, zinaimbwa nyimbo za Komba! I damn would not play na wahuni. They dare to act without worrying about the consequences! I will do the same ten times over! Siku zote mhalifu akiona consequences za uhalifu wake anashika adabu!
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Uongozi Wa Mbowe hauna Shida! Shida ni Upole wake, kwa sasa upo out of order! Na Wanajua sana Wanaowachezea Chadema, Angekuwa Fyatu kama mimi wangeshaacha zamani. Simaanishi fyatu wa kucheza in their hands! Ningewanyoosha na ingechukua miaka 100 Kujua walichotendewa! Akili ni nguvu ya ajabu! Kuliko silaha na majeshi, kila mtu hana silaha na majeshi lakini. Kila mtu ana akili. Na kwahuu uuhuni wa CCM kwa Chadema, jibu ninalo, within six months ningeweka heshima mjini! Bila Maandamano wala ngonjera!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,639
2,000
Mimi siandamani Unanifanyia Ushenzi kesho Ndege yako inapigwa na Radi, zinaimbwa nyimbo za Komba! I damn would not play na wahuni.
Sasa povu la nini mangi, hao unaowatolea povu kila siku humu kwanini usiwatumie radi ukamalizana nao
 
Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,572
2,000
Umenena vyema mkuu,CDM wanakaa kimya na kuacha kupigania haki zao.
Wanatekwa,wanateswa,wanasingiziwa kesi na wamekaa kimya.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,753
2,000
Kila kukicha, Viongozi wa Chadema Wanakamatwa kama kuku lakini wako Kimya. Wakamatwa wakisalimia mtu, Wanakamatwa hata wakitazama Daraja likijengwa, Wanakamatwa wakisimulia Ndoto, Wanakamatwa Wakitoa pole Msibani. Wako tu kimya kama Makondoo!

Wanasukumizwa Kama Mbwa Kutoka Bungeni, Mwenyekiti wa chama pinzani kwao, anaagiza wasukumizwe nje ya Bunge ili adeal nao, kuna dhana Tanzania kwamba Unapokuwa Rais nchi inakuwa ni mali ya mama yako na chama chako.

Chadema Wanashindwa Kutumia Mandate waliyo nayo sasa ya Kuwa na Wabunge karibia 100 na Kutawala karibu Majiji yote Makubwa nchini, wakidhani kuna Wakati mwafaka. Anayekudhulumu kisiasa Tumia akili Mdhulumu 10 times over! Lakini Ninyi hamsikii Ushauri wa Mtu! Mnatakiwa Mtumie Marafiki wa Ndani na nje kutumia Nguvu za ajabu dhidi ya yeyote anayewaonea au kuwahujumu kisiasa! Lakini kwa akili sana!

Time is not in Yall side guys! He who shay away from self defense will soon cease to exist!

Lowassa asiwadanganye ati watulie 2020 Watashida. Kwa Mtindo huu 2020 watavurugwa kihuni watabakia wabunge 6 out of 100. I wish I was CHADEMA chairman for 6 months! Ningekomesha hawa washenzi. Mwonezi usiporeact anaona yupo justified, ukireact kwa nguvu ya kumtoa damu puani anaona kosa lake, ( A bloody nose, will teach a bully a lesson) Hivi Urafiki wa Lowassa na Uhuru Kenyatta anautumia kwa Manufaa Gani? I wish these guys Listen, wataingia Kaburini na Dharau zao!
Chadema wanasubiri huruma zetu wakati siye tunasubiri kwanza ujasiri wao.
mambo ya kuku na yai haya!
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,692
2,000
CHADEMA hovyo tu, yanajidanganya eti 2020 yatashinda, hivyo yatulie na kusubiri muda bila hats ya kujishughulisha, kama hayakushinda 2015 mnadhani mtashinda Siku zijazo kwa kipi mlichobadirisha? Waoinzani wrote kabaki Tundu Lissu tu. Lema naye ameshanyooshwa na Gambo Sasa kaamua kawa mpole kama Roma Mkatoliki.
Siwezi kupoteza muda wangu kuwapa kura yangu watu wa aina hii. Subirini hiyo 2020 mpangiwe tena idadi ya kura mtakazopata.
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,435
2,000
Sure mkuu, my opinion mtu asiye muoga kabisa ni Advocate Lissu, naona ni wakati muafaka kwa Mbowe akasmishe madaraka Kwa Lissu tuone itakuwaje!
 
mommythebest

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
516
1,000
agree. mtu akikuomea mara ya kwanza, ya pili na ya tatu and yet upo kimya unasubiri 'mungu atawalipia' jua ndo umetengeneza authenticity ya kuendelea na uonevu.
 
kashinje juma

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
707
1,000
Mbowe kashindwa kuongoza,namuona Lissu akiwa mstari wa mbele
Lissu ana ulemavu usioonekana kwa macho hawezi kuwa kiongoz mzuri.uongoz ni hekima na busara.sio ujuaji na usomi pekee.lissu abaki kuwa mwana harakati tuu.HANA HEKIMA NA BUSARA ZA KUONGOZA TAASISI KUBWA KM CHADEMA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom