Kunyanyaswa kwa CHADEMA ni kutokana na hofu na ujinga wao!

Sure mkuu, my opinion mtu asiye muoga kabisa ni Advocate Lissu, naona ni wakati muafaka kwa Mbowe akasmishe madaraka Kwa Lissu tuone itakuwaje!
Lissu atacheza Mikononi mwao, Lisu ni Mahiri ila ana Ghadhabu. Mimi sijasema Mbowe hafai, Ila Waanze Mikakati ya Jino kwa Meno! Geuza shavu waachie Mapadri na Wachungaji. Kwenye Siasa Mtu akikupiga Manati, Unajibu kwa kifaru, Atakuheshimu, Vinginevyo nenda Kauze karanga! Mmeshaona Kenya Wakithubutu kupiga tena wapinzani? Somo la 2007 Lilieleweka!
 
Kwa mara ya kwanza nimekuelewa mno.....CHADEMA wanajitia kutumia democracy na upole katika hili wakisahau kua adui anaota mbawa......na mbawa znakomaa...wamnyonyoe mapema!!! kiukweli mashinji kapwaya mno...ukimya wa Mbowe nao n kizazaaa kingne
 
Kwa mara ya kwanza nimekuelewa mno.....CHADEMA wanajitia kutumia democracy na upole katika hili wakisahau kua adui anaota mbawa......na mbawa znakomaa...wamnyonyoe mapema!!! kiukweli mashinji kapwaya mno...ukimya wa Mbowe nao n kizazaaa kingne
Magufuli is not Worried na uchaguzi wa 2020! Aliona wamepora Zanzibar 2015 wakasikilizia wakaona Cool, hakuna Noma 2020 hata apate kura 2 bado atajitangaza! Pili atasafisha Madiwani wote wa Chadema, 3 Atasafisha Ubunge wa wabunge wote wa chadema Wanao amaunt to anything ataacha kama 6 hivi aina ya Akina Nassari. Atasafisha Akina Nape, Bashe na Wengineo kura za Maoni. CHADEMA wako in for a surprise wakiendekeza Ujinga na Upole wa Kufuata Sheria wakati Wanaonewa Kinyume na Sheria. If they dont act now they are finished! Nawapenda na Ndio Nawaambia Ukweli.
 
Lissu ana ulemavu usioonekana kwa macho hawezi kuwa kiongoz mzuri.uongoz ni hekima na busara.sio ujuaji na usomi pekee.lissu abaki kuwa mwana harakati tuu.HANA HEKIMA NA BUSARA ZA KUONGOZA TAASISI KUBWA KM CHADEMA.
Lissu ni Muhimu na Mahiri ila, Hamaki zitamsaliti. Hapo alipo kama Mwanasheria Mkuu ni sawa kabisa!
 
Back
Top Bottom