Kunyamaza au kuchukua hatua!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
37,141
46,412
Kuna baadhi ya mambo ni magumu, yanamwacha mtu katika options mbili tu;

1. Either kunyamaza!

2. Au kuchukua hatua!!

Pale ambapo kuna interest ya watu zaidi ya milioni 50, Mara nyingine ni vyema sana kuchukua hatua inregadless ya vile wachache watakavyofikiri!

Ni bora kabisa kuchukua hatua kuliko kunyamaza!
 
Naona akili zinaanza kukujieni taratibu, endeleeni tu mazee.

Yakiwafika na ninyi mtasema.
 
Magufuli alikuwa anyamaze au apambane na wazee wa kupiga madili. Ameamua kuchagua fungu jema la kupambana nao.

Japo wanufaika wa madili wamechukia na kumkashifu ila ameokoa roho za zaidi ya asilimia tisini ya Watanzania.

Mungu aendelee kumbariki.
 
Inahitajika kujitoa hasa kwakweli kufanya maamuzi dhidi ya madili! Inahitaji uzalendo na kumwogopa Mungu, huyu mzee anajitahidi kwakweli
 
Back
Top Bottom