Kunya bure hapa.....

Huyo mwenye choo atakua na bustani anatafuta mbolea hamna cha bure
 
waweke cha asian type tuone namna wanavyo download.
 
Jf is never boring kwa kweli mi nikitoka nje ya mood au nikikasirishwa na walimwengu huwa naingia Jamii Photos tu basi hata kama nlikuwa na hasira kiasi gani kwa kweli huwa zinaondoka zote aisee.

VIVA JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…