Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,432
- 72,884
aisee poa mkuu nimejifunza kituGari ambayo utainunua Japan mpaka unaimiliki inaweza ikawa 11M na gari hiyohiyo unaweza kuinunua hapa bongo kwa 15M.
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk