Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 739 Jan 4, 2014 #41 Chukua premio old model hili in jiwe lina speed 260 Mkuu nipo dar ni pm tuongee
displayname JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,972 Reaction score 1,091 Jan 4, 2014 #42 samilakadunda said: ningefurahi sana kama ningepata na picha japo kujiridhisha. Click to expand... Wadau wamekwambia uwa PM info zaidi...na picha pia😱
samilakadunda said: ningefurahi sana kama ningepata na picha japo kujiridhisha. Click to expand... Wadau wamekwambia uwa PM info zaidi...na picha pia😱
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Jan 4, 2014 #43 King Kong III said: Cost zake mara nyingi zinakuwa 100% kwahyo ~Grand Total ni 2400us$ hadi barabarani. Click to expand... Tra wana hesabu zao si lazima wafuate CIF ya mteja
King Kong III said: Cost zake mara nyingi zinakuwa 100% kwahyo ~Grand Total ni 2400us$ hadi barabarani. Click to expand... Tra wana hesabu zao si lazima wafuate CIF ya mteja
P Prof t New Member Joined Dec 29, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Jan 4, 2014 #44 samilakadunda said: naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema Click to expand... Nina Toyota vitz karibu ni nzuri sana ntakupa kwa 6.5mio INA namba CCZ nicheck katika namba 0655888479 IPO Hapa Dar is salaam
samilakadunda said: naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema Click to expand... Nina Toyota vitz karibu ni nzuri sana ntakupa kwa 6.5mio INA namba CCZ nicheck katika namba 0655888479 IPO Hapa Dar is salaam
L Lumwagoz JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 977 Reaction score 889 Jan 4, 2014 #45 anauza sh ngap iyo suzuki swift
L leonk JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 274 Reaction score 73 Jan 14, 2014 #46 Lumwagoz said: anauza sh ngap iyo suzuki swift Click to expand... Ni 6.5m ukiiona mtakubaliana ila ipo poa sana kapata gari nyingine ndo maana anauza hiyo!
Lumwagoz said: anauza sh ngap iyo suzuki swift Click to expand... Ni 6.5m ukiiona mtakubaliana ila ipo poa sana kapata gari nyingine ndo maana anauza hiyo!
B Baba Ruu Member Joined Jan 4, 2014 Posts 33 Reaction score 9 Jan 15, 2014 #47 Zenj zipo ila ubaya upo dar port watakuchaji tena