nina Toyota Nadia na GX100 nipo morogoro nichek humu 0718600001naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema
Ushauri wangu,
Waweza kukomaa na hiyo 6mil kwenye gari used but ukapata gari ambayo "life span " ishafikia mwisho kwa Bongo, au ndo inaishia ishia.
Lakini ukiongezea labda laki 5 unaagiza from Japan Toyota Passo kwa uvumilivu wa miezi isiyozidi miwili. Ingawa still ni used but wenzetu wanajali sana mambo ya service, pia wana utaalam nayo, tofauti na ukiokoa hiyo laki 5 but ukakumbana na kimeo ambacho kila gereji hapa mjini wanakijua!!
mil.6 kwa kuagiza japan utapata premio old model. Hapa bongo showroom unavuta swift. Karibu
Nayo ni aina ya Gari?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
nina Toyota Nadia na GX100 nipo morogoro nichek humu 0718600001
Hizo gari zako zimetembea muda gani morogoro upo maeneo gani?
Picha tafadhali na imetembea kilometa ngapi?mkuu mimi nina Toyota Carina Ti namba B, For more information contact 0713 95 92 90
Ingia Be forward Select Toyota,Model weka Any price select frol Low to high,country weka Tanzania,port Dsm then Calculate utashangaa kuona gari hadi za CIF ya 1,200usd,kazi ni kwako!![/QUOTE
Kwa bei hiyo uchakavu lazima,plus ushuru wetu...jaribu kaka
Kwa bei hiyo uchakavu lazima,plus ushuru wetu...jaribu kaka
Ingia Be forward Select Toyota,Model weka Any price select frol Low to high,country weka Tanzania,port Dsm then Calculate utashangaa kuona gari hadi za CIF ya 1,200usd,kazi ni kwako!!