KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Ndio unaweza(visa na mastercard) lakini unabidi unajisajili crdb kama haujajisajili kutumia huduma ya kununua vitu online.mimi nanunua softwares kwenye ovi mara kibao na visa card yangu,its easyNikiwa na akaunti ktk benki ya CRDB naweza kununua?
hyo fb ya e71 ipo sana tu na huwa haifany kaz.. Huwa inaandika tu 'API error' au invalid API learn hw to use google au hta bing!sharobaloooo si zote wazipata bure, ntaftie facebook ya nokia e71 ipo only available ovi store. Mimi nafanya transaction na card yangu ya crdb fuata mtiririko huu1.nenda bank mapokezi watakuelekeza mhusika anaeshughulika na hayo mambo2.mhusika atakupa fomu utajaza na aina ya transaction utaitaja3.baada ya masaa 24 utaweza tumia kadi yako kwa internet then nafkiri after week yajifunga tenacrdb na benki nyengine wameeka hivi kutuprotect na dunia ya mahackers la sivyo tungelizwa kila siku.Labda kuwatahadharisha account namba ya ki interner na security si zile za atm jamani ficheni kadi zenu yale manamba meeengi pale mbele ndo kadi no na herufi 3 za nyuma ya kadi ndo security, be careful na hackers ila ovi store ipo safe 100
Email notifier for nokia e71, symbian 60. Thanx in advance.pole mkuu!!
"why keep a cow if you can get free Milk"
mkuu uki taja hizo software hapa jamvini unaweza ukapewa bureeeee
taja software gani unataka na aina ya simu yako mkuu.!!
i think i can help you and give it to you for free
Email notifier for nokia e71, symbian 60. Thanx in advance.
sharobaloooo si zote wazipata bure, ntaftie facebook ya nokia e71 ipo only available ovi store. Mimi nafanya transaction na card yangu ya crdb fuata mtiririko huu
1.nenda bank mapokezi watakuelekeza mhusika anaeshughulika na hayo mambo
2.mhusika atakupa fomu utajaza na aina ya transaction utaitaja
3.baada ya masaa 24 utaweza tumia kadi yako kwa internet then nafkiri after week yajifunga tena
crdb na benki nyengine wameeka hivi kutuprotect na dunia ya mahackers la sivyo tungelizwa kila siku.
Labda kuwatahadharisha account namba ya ki interner na security si zile za atm jamani ficheni kadi zenu yale manamba meeengi pale mbele ndo kadi no na herufi 3 za nyuma ya kadi ndo security, be careful na hackers ila ovi store ipo safe 100
Mkuu hii feature ipo by default kwenye e-series...kwanini usiactivate tu. unajaza pop.server ya email yako tena ina wizard ambayo inafanya kila kitu wewe wajaza username na password yako tu!! ukitaka kudownload ile ya kwenye ovi nadhani ni kwa watumiaji wa yahoo plus ambayo ni gharama nyingine.
mi nilitumia hii ya kwenyesimu na kila email ikiingia inatokea kwenye simu yangu na kunipa msg kama vile ni text ya kawaida.
soma manual how to activate it mkuu..ni rahisi na raha sana.
Shukran kwa maelekezo, acha niyafanyie kazi sasa hivi...Mkuu hii feature ipo by default kwenye e-series...kwanini usiactivate tu. unajaza pop.server ya email yako tena ina wizard ambayo inafanya kila kitu wewe wajaza username na password yako tu!! ukitaka kudownload ile ya kwenye ovi nadhani ni kwa watumiaji wa yahoo plus ambayo ni gharama nyingine.
mi nilitumia hii ya kwenyesimu na kila email ikiingia inatokea kwenye simu yangu na kunipa msg kama vile ni text ya kawaida.
soma manual how to activate it mkuu..ni rahisi na raha sana.
nina nokia xpress music 5130, nataka pata adobe reader / pdf reader naweza ipata?ovi ipo ila cjajua namna ya kui2mia! na je,naweza download youtube videos?nafanyaje?naomba msaada wenu!pole mkuu!!"why keep a cow if you can get free Milk"mkuu uki taja hizo software hapa jamvini unaweza ukapewa bureeeeetaja software gani unataka na aina ya simu yako mkuu.!!i think i can help you and give it to you for free
muwe mnaeleza na simu mnazotumia ni za aina gani, nadhani mtapata msaada mzuri zaidi, simu zingine sio compatible na hizo fitures thats y zinazimika zenyewe.Hey nikitaka kudownload ovistore inaandika conflicting application na nikajaribu kudownload simu inazima ni kwasababu gani, how to solve it.