Kununua smartphones Nairobi

Kununua smartphones Nairobi

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Kwa mwenye uzoefu na maduka ya simu nirobi, ni mitaa gani ambayo unaweza pata option kubwa ya kununua smartphone whather uses au beand new kwa nirob,
Lakin pia bei standard ya hotel ni around sh ngapi na mitaa gani salama zaidi kwa kufikia.
 
Nirobi ndio wap mkuu.....?
 
Huko Nirobi ndiyo wapi? maana umeandika kwa heading yako ukarudia kwenye maelezo yako kuonesha msisitizo
 
NYANG'AU utaijua tuu hata kwa uandishi wake
Nyang'au mwenyewe msenge, Jamii forum imepoteza radha,ikiwa mtu kakosea tu spelling moja, lakin maana ya neno inaeleweka mnashindwa vipi kuangalia ujumbe ama maana aliyokusudia. Ninyi ndo mnaharibu maana na lengo harisi la JF. Mmekaria kukosoa tu badala ya kujikita kweny kuleta hoja na kuadvice kulingana na mahitaji ya uzi.
 
Nyang'au mwenyewe msenge, Jamii forum imepoteza radha,ikiwa mtu kakosea tu spelling moja, lakin maana ya neno inaeleweka mnashindwa vipi kuangalia ujumbe ama maana aliyokusudia. Ninyi ndo mnaharibu maana na lengo harisi la JF. Mmekaria kukosoa tu badala ya kujikita kweny kuleta hoja na kuadvice kulingana na mahitaji ya uzi.
 
Kwa mwenye uzoefu na maduka ya simu nirobi, ni mitaa gani ambayo unaweza pata option kubwa ya kununua smartphone whather uses au beand new kwa nirob,
Lakin pia bei standard ya hotel ni around sh ngapi na mitaa gani salama zaidi kwa kufikia.
Mkuu yaani simu ndio hadi ukanunue Nairobi?
 
Kwa mwenye uzoefu na maduka ya simu nirobi, ni mitaa gani ambayo unaweza pata option kubwa ya kununua smartphone whather uses au beand new kwa nirob,
Lakin pia bei standard ya hotel ni around sh ngapi na mitaa gani salama zaidi kwa kufikia.

Kuna mtaa unaitwa msimbazi pale kariakoo Nirobi utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom