Kununua laptop mpya

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Wakuu nisaidieni hili, nina sh550,000 je? Naweza Kupata Laptop ya DELL aina ipi iliyoimara.
 
Wakuu nisaidieni hili, nina sh550,000 je? Naweza Kupata Laptop ya DELL aina ipi iliyoimara.

Utapata i3 core , hapo ni kwa kubembeleza ila dualcore utapata mpya, Ram 2GB-4GB, Hd 120-300 GB . Ila haujataja matumizi ya hiyo computer, maana kwa kazi nyepesi hadi ngumu kiasi hizo specs zinafaa ila kwa wale wa kazi nzito hizo zina freeze.
 
Ok Mkuu mie nataka ya kusomea na kusech matilio mtandaon na video zinazohusu kazi ninayosomea kwenye youtube
 
Pia waweza chukua LENOVO B590 -> HDD 500GB, RAM 2GB ,DuoCore ,Hii utaipata kwa 530'000
 
ipi inafaa kwa kazi za nzito za mainginia na suveyors?nipe na bei yake hapo mjini
 
ipi inafaa kwa kazi za nzito za mainginia na suveyors?nipe na bei yake hapo mjini

Kazi nzito za mainjinia itabeba mawe hiyo pc???
Anyway tafuta comp yenye ram na proccesor speed nzuri na pia hdd kubwa.
 
TOSHIBA SATELITE C855D-S5100
»High-definition widescreen LED-backlit TFT-LCD with TruBrite technology (1366x768)
»320GB HD, double-layer DVD±RW/CD-RW, media card reader
»AMD dual-core E-300
»1.3GHz accelerated processor, »4GB DDR3 memory, number keypad on keyboard
»Wifi 802.11b/g/n, 10/100 Ethernet, Webcam, 3 USB ports, 6-cell Li-ion battery
»Portable 5.5 lbs, 1.3" thin, »Genuine Windows® 8 64-bit
»HDMI Port

Price 650,000/-
Location: Ilala Dar.
Contact; 0715240140

Link:
Notebook Planet: Toshiba Satellite C855D-S5100 Specifications
 
Dell latittude e5400 au e6400 brand new.

0659-995445
0757-032976
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…