sheby dunia Member Joined Jul 12, 2018 Posts 78 Reaction score 83 Mar 29, 2021 #1 Msaada tutani nimeingia online nimevutiwa sana na products za kikuu. Mwenye experience yoyote ya kununua vitu kwa hawa jamaa please anipe muongozo maana nimewaelewa sana.
Msaada tutani nimeingia online nimevutiwa sana na products za kikuu. Mwenye experience yoyote ya kununua vitu kwa hawa jamaa please anipe muongozo maana nimewaelewa sana.
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Mar 29, 2021 #2 Kikuu bana kitu unavyokiona mtandaoni tofauti na kinachokuja na mara nyingi mzigo unachelewa
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Mar 29, 2021 #3 VinnytheDJ said: Kikuu bana kitu unavokiona mtandaoni tofauti na kinachokuja na mara nyingi mzigo unachelewa Click to expand... Juzi nimepokea mzigo haujachelewa nimeupata in 20 days ingawa wali-approximate siku 28.
VinnytheDJ said: Kikuu bana kitu unavokiona mtandaoni tofauti na kinachokuja na mara nyingi mzigo unachelewa Click to expand... Juzi nimepokea mzigo haujachelewa nimeupata in 20 days ingawa wali-approximate siku 28.
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,700 Reaction score 35,783 Mar 29, 2021 #4 Kikuu ni madalali Tu wale na hakuna unafuu wa bei
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Mar 29, 2021 #5 Daudi Mchambuzi said: Juzi nimepokea mzigo haujachelewa nimeupata in 20 days ingawa wali-approximate siku 28. Click to expand... May be wamechange siku hizi ila me nilishaachana nao nipo AliExpress saivi
Daudi Mchambuzi said: Juzi nimepokea mzigo haujachelewa nimeupata in 20 days ingawa wali-approximate siku 28. Click to expand... May be wamechange siku hizi ila me nilishaachana nao nipo AliExpress saivi
sheby dunia Member Joined Jul 12, 2018 Posts 78 Reaction score 83 Mar 29, 2021 Thread starter #6 VinnytheDJ said: may be wamechange siku hizi ila me nilishaachana nao npo AliExpress saiv Click to expand... Hao aliexpress wako makini afu nipe utaratibu mkuu maana sijawahi oda chochote online sasa naogopa nisije toa pesa afu mambo yakawa ovyo
VinnytheDJ said: may be wamechange siku hizi ila me nilishaachana nao npo AliExpress saiv Click to expand... Hao aliexpress wako makini afu nipe utaratibu mkuu maana sijawahi oda chochote online sasa naogopa nisije toa pesa afu mambo yakawa ovyo
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,351 Mar 29, 2021 #7 Kikuu unaweza ukaona kiatu hicho hadi ukachizika, ngoja ukitie mkononi sasa ha ha ha ha ha unaanza kujistukia kukivaa!
Kikuu unaweza ukaona kiatu hicho hadi ukachizika, ngoja ukitie mkononi sasa ha ha ha ha ha unaanza kujistukia kukivaa!
Superpower JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 826 Reaction score 921 Mar 29, 2021 #8 Mbwana nimeagiza mara tatu na kikuu na mizigo Safi kabisa