kununua gari

Dansel

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
249
59
wakuu ni halali kununua rav4 ya 2000 mileage: 80000 kms, kwa milioni 24
 
mkuu wapi naweza pata hii kitu kwa hii bei, maana kuna mtu anataka kuniuzia kwa 24 mil

Sikulaumu ndugu. WaTz wengi hatuna exposure ya manunuzi. Sio kwenye magari tu, hata kwenye electonics, home appliance, simu, nguo nk

Hiyo gari huwezi nunua milioni 24 wakatu imeshatumika na yeye ameshaitumia tena. Yani unanua gari same price alivyonunua yeye???

Note: jinsi gari inavyokuwa na users wengi. Price also should go down (depreciation).
 
Back
Top Bottom