Kununua Gari/Kukuza Biashara /Kujenga nyumba ya kupanga

Umeongea ukweli mkuu na kwa kuongezea aangalie biashara ipi aipe kipao mbele kati ya hiyo aliyonayo kwasasa na hii ya kujenga kisha kupangisha.

1. Biashara aliyonayo faida yake ipoje na akiiongezea mtaji itaweza kukua kiasi cha kurejesha huo mkopo na kumpa faida zaidi??

2. Kujenga na kupangisha. Je kodi za kila mwezi kutegemeana na idadi ya vyumba atakavyojenga vitaweza mrudishia huo mkopo ndani ya miaka sita na yeye kupata faida ??

3. Kununua gari. Je gharama za usafiri kwa mwezi akijumuisha zikoje?? Makato ya mshahara na hali ya biashara itaweza rejesha huu mkopo ndani ya miaka 6 na yeye kupata faida kutokana na gharama za boda, bajaji na daladala ambazo zitakuwa zimeondolewa??

Piga hesabu kwa mwezi unatumia kiasi gani kwenye usafiri kisha vuta picture gharama za kutunza hili gari kwa mwezi ni kiasi gani then compare.

All in all fikiria namba moja na mbili hapo juu, hili la gari litegemee data za namba moja na mbili.
Umechambua vyema mkuu.
 
Kopa 20m toa m12 nunua ht ist ikurahisishie maishaa
8m weka kwa biasharaa,simamia biashara vzr zaidi faida jengea vyumba vya kupangisha hapo unapoishi taratibu

Maisha mafupi hayaa usijistress sana woiii
Naam
 
Umenifikirisha sana asante
 
Kopa 20m toa m12 nunua ht ist ikurahisishie maishaa
8m weka kwa biasharaa,simamia biashara vzr zaidi faida jengea vyumba vya kupangisha hapo unapoishi taratibu

Maisha mafupi hayaa usijistress sana woiii
Duh,
 
Ana mawazo mazuri lakini Million 20 haijengi nyumba. Itaishia kuwa pagala. Halafu kujenga nyumba unawekeza hela ndefu halafu returns zake kiduchu
 
Kwajinsi nilivyokuelewa hujajua unataka kukopa kwasababu zipi..usikope hela kama hujui nini unataka kufanyia zitakutesa mno!
Simamia biashara yako kwanza uone ina uelekeo upi....!
Option ya mwisho kwenu nyie waajiriwa jengen tu nyumba! Mpangishe ...gari nalo linataka huduma pia ukumbuke ..
All the best
Umemwambia ukweli ingawa watanzania huwa hatupendi kuambiwa hivyo. Ninavyojua mimi mtu mpaka uchukuwe mkopo, unakuwa umeshafanya upembuzi yakinifu usio na shaka na kujua mkopo wako mara unapouchukuwa tu unakwenda kuufanyia nini. Mimi huwa sishauri sana mtu aulize ushauri wa kuchukuwa mkopo sehemu kama hapa kwa sababu kufanikiwa kwa lengo la mkopo inategemea factors nyingi sana na hizo factors zinategemea mtu na mtu, mazingira husika na pia wakati etc. Ushauri utakaomsaidia Mrs A unaweza kabisa usimsaidie Mrs B japo unafanana. Cha msingi hapa achukuwe wazo la jumla tu na alifanyie kazi kulingana na mazingira yake. Na mwisho huwa naamini ukishaona mtu anataka kuchukuwa mkopo na hajui aufanyie nini au anapita huko na huko akiulizia aufanyie nini basi uwezekano wa kufeli ni mkubwa.
 
Huna mwazo ya kufanyia hiyo pesa so ghairisha kukopa mpaka mwakani.

Kopa mkopo wa biashara wa 5-7.5 M then ongezea kwenye biashara, after a year ukijirudishia hata 10M kutoka kwenye biashara na niashara ikawa imesimama vzr basi utakuwa na mawazo plus mtaji wa kuanzia inachowaza kufanya kabla ya kuchukua huo mkopo
 
Umemwambia ukweli ingawa watanzania huwa hatupendi kuambiwa hivyo. Ninavyojua mimi mtu mpaka uchukuwe mkopo, unakuwa umeshafanya upembuzi yakinifu usio na shaka na kujua mkopo wako mara unapouchukuwa tu unakwenda kuufanyia nini. Mimi huwa sishauri sana mtu aulize ushauri wa kuchukuwa mkopo sehemu kama hapa kwa sababu kufanikiwa kwa lengo la mkopo inategemea factors nyingi sana na hizo factors zinategemea mtu na mtu, mazingira husika na pia wakati etc. Ushauri utakaomsaidia Mrs A unaweza kabisa usimsaidie Mrs B japo unafanana. Cha msingi hapa achukuwe wazo la jumla tu na alifanyie kazi kulingana na mazingira yake. Na mwisho huwa naamini ukishaona mtu anataka kuchukuwa mkopo na hajui aufanyie nini au anapita huko na huko akiulizia aufanyie nini basi uwezekano wa kufeli ni mkubwa.
Line ya mwisho imebeba ujumbe wote
 
Fanya kukopa huo wa kurudisha ndani ya miaka 6.

Cha muhimu usinunue gari kwa hiyo hela ya mkopo bali ifanyie biashara ikikulipa ndio utanunua gari huko mbele.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kweli kabisa ila asikope huo mkopo wa kurudisha miaka 6
Badala yake akope wa kurudisha mwaka mmoja kisha apambane
 
1. USIKOPE
2.kama ni lazima kukopa usije ukanunua gari na wala usipeleke hela kwenye biashara ambayo teyari ina mil15 haijatengamaa
3. Mkopo maliza ndani ya mwaka 1
Siyo kwamba haijatengamaa
Ila ina mahitaji mengi, ni kama biashara ya hardware ina vitu vingi sana ambavyo unaweza kuuza so mpaka uwe na kila kitu inahitaji mtaji mrefu sana,

Kusema haijatengamaa ni kwamba kuna vitu naweza kuuza ila bado sina, ila biashara inaenda vizuri,
Kwa lugha rahisi nahitaji kuipanua zaidi niwe na kila kitu
 
Ana mawazo mazuri lakini Million 20 haijengi nyumba. Itaishia kuwa pagala. Halafu kujenga nyumba unawekeza hela ndefu halafu returns zake kiduchu
Inategemea na aina ya nyumba, mimi nina experience kidogo, milion 20 kwa eneo nililopo naweza kujenga sevant quarter nzuri kabisa ya kodi ya 250 hivi, au vyumba vya kawaida viwili au vitatu vya kodi ya 50-70 kwa mwezi
 
Umemwambia ukweli ingawa watanzania huwa hatupendi kuambiwa hivyo. Ninavyojua mimi mtu mpaka uchukuwe mkopo, unakuwa umeshafanya upembuzi yakinifu usio na shaka na kujua mkopo wako mara unapouchukuwa tu unakwenda kuufanyia nini. Mimi huwa sishauri sana mtu aulize ushauri wa kuchukuwa mkopo sehemu kama hapa kwa sababu kufanikiwa kwa lengo la mkopo inategemea factors nyingi sana na hizo factors zinategemea mtu na mtu, mazingira husika na pia wakati etc. Ushauri utakaomsaidia Mrs A unaweza kabisa usimsaidie Mrs B japo unafanana. Cha msingi hapa achukuwe wazo la jumla tu na alifanyie kazi kulingana na mazingira yake. Na mwisho huwa naamini ukishaona mtu anataka kuchukuwa mkopo na hajui aufanyie nini au anapita huko na huko akiulizia aufanyie nini basi uwezekano wa kufeli ni mkubwa.
Napenda kuambiwa ukweli
Asante
 
Siyo kwamba haijatengamaa
Ila ina mahitaji mengi, ni kama biashara ya hardware ina vitu vingi sana ambavyo unaweza kuuza so mpaka uwe na kila kitu inahitaji mtaji mrefu sana,

Kusema haijatengamaa ni kwamba kuna vitu naweza kuuza ila bado sina, ila biashara inaenda vizuri,
Kwa lugha rahisi nahitaji kuipanua zaidi niwe na kila kitu
Kama ni kuikuza unaweza ukope ila mkopo ulipe ndani ya mwaka
 
Chukua huo mfupi wa biashara..huo wa miaka mingi unawatengenezea faida benki. Kivipi? kwa hizo milioni ishirini makato kwa mwezi sio chini ya laki 9,haya piga hizo laki tisa mara miezi 72 ni zaidi ya milioni 60 kwa mkopo wa milioni 20.
Haya,za kuambiwa....

mhh hizi hesabu za bank gani bro??

milioni 20 makato laki 9,kwa miezi 72!!!!serious

ukikatwa laki 9 maana yake mkopo ndani ya miezi 28 tu umekwisha mpaka riba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom