Msaada, nahitaji kununu bendera ya Tanzania ya ukubwa wa urefu 1m na upana 0.8m, naweza nunua wap hapa Dar, nimetafuta maeneo mengi nimekosa au kama kuna mtu ana contacts plz.
Mkuu tafuta ofisi za GPSA (kwa ku-Google) ndiyo wanaouza bidhaa nyingi za serikali ikiwemo hiyo bendera unayoitafuta pamoja na picha za Marais wa Serikali ya muungano wa Tz.Hapa Dar sijui wapo wapi.Bendera hiyo unayoitaka inauzwa Tsh 82,000/= (Themanini na mbili elfu tu), Nawasilisha.