Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,434
Pole sana sio lazima useme kijana ata kama tatizo ni lako.tumia majani ya chai,nunua au pata majani kidogo ya chai safisha miguu paka mafuta vizuri chukua majan kidogo weka katikati ya kidole na kidole kwa miguu yote na vidole.vaa soksi.fanya hivyo siku mbili mfurulizo.utaponasallute wakuu...naomben msaada wenu nina kijana wa age 21yrs ana tatizo la kunuka miguu..yaan akivua viatu hapo ndan hakukaliki, miguu anaosha vizur na kabla ya kuvaa viatu hua anaikausha vizuri tu. je tatizo labda ni nini na dawa yake ni nini,,,msaada mwenye kujua
Correct kwa kuongezea atumie Mycota Powder... Maduka ya Dawa ni 28,000/- tuMkuu huyo kijana huwenda haoshi vizuri hiyo miguu ananawa juu juu tu ndio maana hiyo hari haiishi,jambo la kufanya ni
*kunawa miguu vizuri hasa katikati ya vidole na unyayo
*kukausha miguu vizuri hasa katikati ya vidole na kupaka mafuta
*ajitahidi kuvaa soksi safi na viatu visafi au apendelee kuvaa viati vya wazi.
Akifata hivyo mambo yatakaa sawa.
Correct kwa kuongezea atumie Mycota Powder... Maduka ya Dawa ni 28,000/- tu
Ahsante mkuuKunywa tui la nazi glass moja kila siku... Your whole skin will improve...
Karibu...Ahsante mkuu
Pole sana kama umewahi ugua fungus Basi yawezekana iyo ni moja wapo ya tatizo lako Na pia yawezekana hao fungus hawajapona vizuri hivo rudi tena Hosp wakati ukiendelea weka mazingira ya usafi wa miguu yako vizuri zaidi, mafuta ya mnyonyo ni mazuri kwa kutibu fungus waweza paka ayo muda wa usiku ukiwa walala mkuu inaweza saidiaAhsantee mkuu siko dar ndugu yangu yeah niliuguaa fungus nikaponaa ila harufu tu miguuni ndo imegomaa kuondoka
Najarbu kilaa namnaa mkuu nakosa kujiamini kabisa mkuu ilaa naplan kwenda hospitali kwa matibabu zaidiii
Kwa sasa navaa soks cotton na ukweli sitembei sanaa mda mwingi nakua ofisini tu pale japoo kuna kuaa na jotoo na mm nasweat
Ilaa mkuu nashkuru kwa ushaur wako.