Atakuwa huyu jamaa ni choko ...mimi si salimiwi na vitoto vidogo na navipa pesa ...wananiheshimu zaidiHuo muda huwa mnautoa wapi? Mtu akiwa na pozi au asipokusalimia unapungukiwa nini?
Usikute ndivyo alivyo, kuna watu si wachangamfu sana kwa watu.Kuna mtu anajiona wa Hadhi ya juu sana.
Hata salamu yake naongea kama unamlazimisha hivi, sauti kama anabana pua zote pozi za kujiona na Hadhi ya juu.
Sasa, Leo Mchana Kuna mpangaji nimeambiwa na Dalali anaingia kwenye kibanda Changu.
Nikamwambia atume tu pesa mkataba nitampitishia nikitoka Mishe mishe zangu.
Nafika pale nakutana na Yule mtu wa mapozi yaani, Nashangaa yule mtu kama pozi limemuisha
Kwa mshangao ananiuliza we ndo mwenye nyumba wangu.
Nikaona Bora ni mjibu" Hapana Mimi ni msimamizi tu, nyumba ya kaka yangu"
Kwa Nyodo na Dharau anazo zalau wenzie yule mtu, sio poa kwa kweli ila napenda sana watu tujifunze kueshimiana na kupendana na kutoa kua na dharau kwa wengine hata kama unamuona hana kitu usimzarau kwa kua wewe unakitu Fulani au una Mali.
Jambo la kujifunza kama mtu atakudharau mwache akudharau aliempa yeye ndo alie tunyima sisi.
Watanzania wengi wana uswahili swahili sana, kujali jali mambo yasiyowahusuHuo muda huwa mnautoa wapi? Mtu akiwa na pozi au asipokusalimia unapungukiwa nini?
watu wakiwa nje ya mlango wako, hutoki nje hata iwejeNilivyo mvivu kuongea mtu asiponisalimia ni good news
watu wakiwa nje ya mlango wako, hutoki nje hata iweje
Joanah kwemaNilivyo mvivu kuongea mtu asiponisalimia ni good news
NIsha anza kuku zoea, ubingwa wako huku tu π π€£Umejuaje? Nitasubiri pawe kimya nitoke
Kwema T 1990 ELYJoanah kwema
Jamani πNIsha anza kuku zoea, ubingwa wako huku tu π π€£
Ila usi ogope, nita kulinda.Jamani π