Mimi niko China. Niletee tani mbili. (Nimeandika hivyo ili kukumbusha kuwa unapoweka tangazo la bidhaa ni vizuri ukasema uko wapi.)View attachment 1286674Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule.
Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200.
Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu.
Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi 350,000/=
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Mimi niko China. Niletee tani mbili. (Nimeandika hivyo ili kukumbusha kuwa unapoweka tangazo la bidhaa ni vizuri ukasema uko wapi.)
Huyu nae eti ni mfanyabiashara....!!
Kwa uandishi huu Nina wasiwasi kama una vibali OG. toka mamlaka husika....
Vibali vipo kamili kabisa.Tani 200 x 350,000/- = 70,000,000
watu wanachukulia kuni poa.wakati utapiga hela kuliko mkulima wa korosho.
sema swali . je unatoa risit za EFD? maana serikali Inahitaji mapato hapo pia.ukiacha hivyo vibali na lesseni ya kukatia hiyo miti
Kwa bei hiyo, usafiri included?Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule.
Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200.
Mzigo upo Dar es Salaam.
Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu.
Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi 350,000/=
Vibali vyote vipo.
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
*Ofa ya Xmas na Mwaka Mpya*
Punguzo kubwa la bei ya kuni.
Jipatie tani moja kwa 120,000/= tu.
Mzigo upo Dar, una vibali vyote vya serikali.
Wahi mapema kabla mzigo haujaisha.
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
Mzigo umeshachambuliwa, wa kwenda nje umeshaenda, uliobaki unauzwa kama kunikama nakuona ulvokua unataka kisafirisha magogo kwenda nje ikabuma
Sent using Jamii Forums mobile app