Wanataka kumpora kitu anachokula tuMm hapa napokaa..kunguru wakimuona tu mtoto ametoka nje kucheza na wao wanasogea maeneo ya karibu..sijui huwa wanataka nn..na wanasogea hadi miguuni kwa mtoto..imenibidi ninunue manati kideal nao..maana naogopa wasije mdonoa..wakati mwingine mtoto alitokea na msosi nje wanazengea wanapita nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa lipa madeni ya watu
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kunguru hasa hawa weusi wa Zanzibar wanauwezo mkubwa sana wa kukariri maadui zao, jaribu kurejesha kumbukumbu zako kama kwa namna yoyte ile uliwahi kuwaletea madhara, ama kuharibu kiota chao au kuua kinda au makinda yao, na hapo una bahati kama alikuwa mmoja tu,huwa wanatabia ya kuitana kuja kushambulia...chukua tahadhali mkuu kuna siku utashambuliwa na kundi la hao kunguru
Ndio,kwasababu wale wajinga wanakuja sehemu za usoni,haswa machoniHa ha ha.
Kwa hiyo kunguru kakuhamisha njia
Ukiona hivyo tambua kuwa huwa unatabia ya kuwafukuza/kuwarushia mawe hiyo ni retaliation. Kunguru ana memory kubwa hasahau mbaya wake.Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Nazani huyo wa pili alijuta kutaka kujua ndoto yake, ni bora asingelijitaabisha kujua tafsiri yake.Genesis 40
English Standard Version
Joseph Interprets Two Prisoners' Dreams
40 Some time after this, the (A)cupbearer of the king of Egypt and his baker committed an offense against their lord the king of Egypt. 2 And Pharaoh was angry with his two officers, the chief cupbearer and the chief baker, 3 (B)and he put them in custody in the house of the captain of the guard, in the prison where Joseph was confined. 4 The captain of the guard appointed Joseph to be with them, and he attended them. They continued for some time in custody.
5 And one night they both dreamed—the cupbearer and the baker of the king of Egypt, who were confined in the prison—each his own dream, and each dream with its own interpretation. 6 When Joseph came to them in the morning, he saw that they were troubled. 7 So he asked Pharaoh's officers who were with him in custody in his master's house, (C)“Why are your faces downcast today?” 8 They said to him, (D)“We have had dreams, and there is no one to interpret them.” And Joseph said to them, (E)“Do not interpretations belong to God? Please tell them to me.”
9 So the chief cupbearer told his dream to Joseph and said to him, “In my dream there was a vine before me, 10 and on the vine there were three branches. As soon as it budded, its blossoms shot forth, and the clusters ripened into grapes. 11 Pharaoh's cup was in my hand, and I took the grapes and pressed them into Pharaoh's cup and placed the cup in Pharaoh's hand.” 12 Then Joseph said to him, (F)“This is its interpretation: (G)the three branches are three days. 13 In three days Pharaoh will (H)lift up your head and restore you to your office, and you shall place Pharaoh's cup in his hand as formerly, when you were his cupbearer. 14 Only remember me, when it is well with you, and please do me the kindness to mention me to Pharaoh, and so get me out of this house. 15 For (I)I was indeed stolen out of the land of the Hebrews, and (J)here also I have done nothing that they should put me into the pit.”
16 When the chief baker saw that the interpretation was favorable, he said to Joseph, “I also had a dream: there were three cake baskets on my head, 17 and in the uppermost basket there were all sorts of baked food for Pharaoh, but the birds were eating it out of the basket on my head.” 18 And Joseph answered and said, (K)“This is its interpretation: the three baskets are three days. 19 (L)In three days Pharaoh will lift up your head—from you!—and (M)hang you on a tree. And the birds will eat the flesh from you.”
20 On the third day, which was Pharaoh's (N)birthday, he made a feast for all his servants and (O)lifted up the head of the chief cupbearer and the head of the chief baker among his servants. 21 (P)He restored the chief cupbearer to his position, and (Q)he placed the cup in Pharaoh's hand.22 But he (R)hanged the chief baker, as Joseph had interpreted to them. 23 Yet the chief cupbearer did not remember Joseph, but forgot him.
Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Huyo itakuwa kunguru gaidi afunguliwe mashtaka 😅Huyo kunguru ni gaidi!
Usikute umejipaka bluebane mkuu.Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Unahitaji kufanya maombi mazito sana kuomba huruma ya Mungu.Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Yaani inabidi wakae tu wayamalize...😀😀Bora wayaongee, wamalize tofauti zao....
Wapiga ramli huwa wanaenda mlemle kile ambacho una amini😀😀😀Ushampigia ramli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kinda wa kunguru???Je ulishawahi kuua kunguru au kumpiga kinda wa kunguru
Ova
Wengine hawadonyolewi au wengine hawasimulii kwamba nao wamedonyolewa!?Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Mnh hili Lina ukweli? Mana Nina madeni kadhaa hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa lipa madeni ya watu
Aisee, kiukweli Imani yangu inapimika Sana kuhusu hiliKweli unagundu yaani akudonyoe mara mbili?? Jaribu kuangalia mara kumikumi mafta/manukato unayopaka tofauti na apo hao kunguru ni wa kamati.