ingekua kunguru wa kwetu angechukua uchafu kutoka ktk hilo debe na kuuleta nje,kweli kuishi kwing kuona mengi,lakini hata hawa wa kwetu walikua hivi hivi ila maisha ya bongo ndo yakawachanganya,
Kunguru kuwa trained inawezekana wadau, mie binafsi nishaona trained kunguru kwenye documentary fulani sikumbuki ni station gani, alifunngwa kwenye cage na alifundishwa kufungua mlango wa cage, kwenda kula then kurudi kwenye cage yake na kisha kurudishia mlango,vyote alifanya kwa kutumia mdomo wake, NILISHANGAA SANA, nikajisemea kwamba kumbe inawezekana