Kunguni kuishi maskioni

Kunguni kuishi maskioni

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habarini za humu natumai ni wazima,

Kuna ndugu yangu mmoja kaingiliwa na kunguni kwenye masikio toka mwaka jana anasema eti anasikia hao kunguni wakimuuma.

Je, kuna uwezekano wa kunguni kuishi katika masikio ya mtu kwa kipindi chote hicho pia ameshazunguka hosptali na hospital wanasema hamna chochote.

Kama kuna tiba au mtu kashapitia au kusikia Naombeni msaada
 
Kunguni anaweza hata kuishi popote palipofichika sembuse na sikioni ambako na chakula anapata.

Kunguni hata ukitelekeza kitanda mwaka mzima siku ukikilalia wanaanza na wewe.

Huyo kiumbe mwogope sana
Habarini za humu natumai ni wazima...kuna ndugu yangu mmoja kaingiliwa na kunguni kwenye masikio toka mwaka jana anasema eti anasikia hao kunguni wakimuuma..je kuna uwezekano wa kunguni kuishi katika masikio ya mtu kwa kipindi chote hicho pia ameshazunguka hosptali na hospital wanasema hamna chochote..kama kuna tiba au mtu kashapitia au kusikia Naombeni msaada
 
Mkuu umenifumbua leo , nimewahi kulala kitanda chenye kinguni mwezi mmoja uliopita , Kuna wakati sikio langu moja kwandani nahisi kabisa Kuna vitu vinatembea,nimetia mpaka dawa ya Maji ya masikio wapi" watakua kunguni tu
 
achana na hizi story za jamaa bana.

kunguni hawezi kuishi sikioni,ni mdudu mkubwa,maana swala halitakuwa wewe kuhisi kitu kinatembea,bali sikio linaziba kabisa na utapiga yowe baada kumsikia kwa ishara zote.
 
Pia sikio lina nta maalumu kwa ajili ya ulinzi, hiyo nta kunguni hakatizi lazima anasa

Tusitishane kwa story za vijiweni sababu hapa melala guest na hisia zangu zinaniambia kunguni hakwosi hapa hahahah
 
kwa uhuni wa kunguni anaweza yule jamaa ni muhuni sana hao wakujiita mabaharia kwa kunguni wakasome.

NB. aweke mafuta ya kula kwa sikio, ainamishe sikio lenye kunguni juu kama yumo lazima atoke
 
Mkuu umenifumbua leo , nimewahi kulala kitanda chenye kinguni mwezi mmoja uliopita , Kuna wakati sikio langu moja kwandani nahisi kabisa Kuna vitu vinatembea,nimetia mpaka dawa ya Maji ya masikio wapi" watakua kunguni tu
Kumbuka kwamba Kunguni upatikana kwy vyombo vya usafiri kama magari na Treni, meli. Pia wanapatikana sana kwy Guest Houses
 
Kumbuka kwamba Kunguni upatikana kwy vyombo vya usafiri kama magari na Treni, meli. Pia wanapatikana sana kwy Guest Houses
Mkuu mpk kwenye ndege,

Mwaka juzi british airways walikumbwa na skendo ya kuguni kwenye ndege zao, ikawashusha sana kwenye sokoo,

hii ilianza na mama mmoja wa kijapani mwaka 2017 kwenda kulalamika kwa maafisa km familia yake ndani ya ndege walikula bites za kutosha kutoka vancouver mpk london,
hii wakaipotezea maana sio raia wao..

Mwaka jana mfanya biashara wa uingereza alisafiri kutoka london mpk captown alichezea bites zaidi ya 120 kwa masaa 14, unavyojua wazungu na ile rangi yao, anatua cape town ukimchek kama fenesi lililo oza.

hao kukuni walibebwa na abiria mmoja kutoka ghana, kwenye ndege wakaanza kusambaa na kuzaliana siku kwa sikuu, baada ya hapo kila yule akatafta abiria anasepa nae,
wakaanza kujaa london international airport, abilia wakawa wanawabeba bila kujua,wakahamia majumbani,

Na akitua tuu nyumbn ni ndani ya mwezi tuuu wamejaaa, na hutomuona mpk ule bite, na akikupa bite moja anahama location, mara mgongoni, mara,kifuania, mara kwenye papuchu, mara gegedo, mara kwapani, mara sikioni, yaani ni mmoja lkn km milioni,
mpk unamkamata mwili ushaumuka.

Wewe tafta tuu njia ya kuwaangamiza,

usijiulize ulibeba
mmoja au wawili?
dume au jike?
alikua na mimba au hana?

Wao wanachojua ni kuzaa..
wewe utashaangaa tuu bites,

baada ya miezi wale wadudu waisambaa london karibia yote na miji ya karibu through the same method.

Walihaha sana kuwaua, am not sure km wamefanikiwa mpk leo.

Nina uzoefu nao, maana walichonifanya advance sitosahauu, yaani unaamka kusoma bila kutaka, maana ukimaliza lijisaa hujaamka labda km umezimia, mpka tukawa tunahisi au walikua wanamwagwa ilili watuamshe kusoma..
Anayway kwa upande mwingne nawashukuru sanaa
 
Hahahaaa umenikumbusha shule ya Sekondari Vudoi tuliendaga kufanya paper pale mbona tulijuta. Yaani tulilala siku mbili tu tuling'atwa balaa hadi tunamaliza paper hatuna hamu
 
Inasemekana kunguni ndio kiumbe pekee aliyenauwezo wa kusavaivu kwenye mlipuko wa kinyukria.
 
Back
Top Bottom