Kunawatu wabishi sijapata kuona

Kunawatu wabishi sijapata kuona

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Naomba mnisaidie eti Ndege na Nyumba nikipi kinapaa juu?
 
Ndege

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jameni mbona na humu ubishi ni uleule? naomba mwenyejibu sahihi anipe, jamaa huku wanataka niwajibu
 
Jameni mbona na humu ubishi ni uleule? naomba mwenyejibu sahihi anipe, jamaa huku nje ya JFwanataka niwajibu
 
Ona hilo neno nilivyolinyambulisha

Jibu ni Nyumba ndiyo inapaajuu, ndege haina paa juu. kwa upande wa Ndege yenyewe ina luka juu, ukitaka kuamini sikiliza latiba za ndege,ndege italuka dar -mwanza
 
Mpaka sasa mshindi wetu ni { Dotcomlady } umejipatia ofa ya kwenda kumtembelea mapolomoko kila kitu utajigaramia na usisahau mgeninjoo___uje na fedha za kutusha kuwaponyesha wenyeji wako karibu saaaaaana
 
Paaa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kiswahili kigumu hadi kukiandika....inaluka. ahaaahaa huyu kiswahili alipata masifuri

Jibuhapa, Rubani anapaisha ndege au analusha ndege? chombo kilicho enda mwezini kililushwa au kilipaa?. chenye uhai ndicho hupaa,
 
kiswahili kigumu hadi kukiandika....inaluka. ahaaahaa huyu kiswahili alipata masifuri



Unamcheka wakati mwenzako sasa anatamba na songi lake la flava? Tena mialiko ya harusini anapata kila kukicha na kampeni za CCM anashiriki kama kawa.
 
Neno paa lina maana zaidi ya moja.
Paa-LUKA KUELEKEA JUU
Paa-KIFUNIKO CHA NYUMBA LOOF.
Neno ndege pia lina maana zaidi ya moja.
Ndege kama kiumbe kinachofugwa na mwanadamu pia huishi porini.
Ndege kama kifaa au chombo cha usafiri.
Tukianza na maana ya kwanza kwa neno paa, inamaanisha ndege kama kifaa cha usafiri kinapaa kama kifuniko chake. Pia ndege kama kiumbena ndege kama chombo cha usafiri wanaweza kuruka juu lakini nyumba haiwezi kuruka juu.
Nyumba ina paa kama kifuniko, ndege kama chombo cha usafiri ina paa kama kifuniko, ndege kama kiumbe afugwaye ana paa kwa kuruka juu. Kwa leo naishia hapo.
 
Back
Top Bottom