Naomba niulize kuna uwezakano wa kuhama chuo kama mtu ulikuwa unasomea nje ya Tanzania unaweza kurudi bongo ukamalizia course yako kwa level ya bachelor degree..
Inategemea ulikua unasoma chuo gani huko nje,ucje ukawa ulikua unasoma vyuo vya kata huko india ukadhani utapokelewa huku bongo.na ni nini kinachokurudsha tena bongo mkuu,au maisha magumu huko uliko?