007/Mrs.bond
Member
- May 6, 2009
- 19
- 3
Kwa mimi kuwa mwanamme ananipendahebu fafanua, kipimo chako cha mapenzi ni nini?
duh, requirements nyingi sana ndio maana hawezi kutimiza. wanaosema anakupenda perhaps wana-base on two or at most three criteria.Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. awe muwazi
2. awe na mda nami
3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. aniheshimu n.k
Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
the tehe tehe.....nyie si mnataka haki zenu ati muwe sawa na wanaume....gangamara na wewe uache kupiga mizinga kwa hubby wako.....Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. awe muwazi
2. awe na mda nami
3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. aniheshimu n.k
Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
wako kua unampenda? Je ni kitu gani watu kama hawa hupoteza au hupata faida wanapolificha penzi kwa mweza wake? Maana nimejaribu kulichambua hili swala sipati jibu...nasikia tuu kwa watu na marafiki wa karibu na Mr. kuwa Duh, mmeo anakupenda sana. Sasa inakuwaje kwangu hanionyeshi! naombeni ushauri katika hili.
Kwa maana hiyo Kifaru huyu Mrs 007 amefanya yeye kosa kuonyesha penzi lake kwa huyo jamaa! au unamaanisha na yeye apunguze penzi? Kweli JF kuna mambo, makubwa haya sijawahi kuyasikia ati. Ehe hebu nihabarishe mengi nisoyajua nami!navyofahamu mimi haikatazwi kumuonyesha unayempenda pendo lako kwake, atakua anakuonyesha ila si kwa kiwango unachotaka wewe, ila dada Mrs 007 unapaswa ufahamu ndani ya mapenzi ili yaendelee kuwepo lazima uwe na mikakati ya upendo wako, ebu chukulia kama ni chakula mfano unachokipenda sana, ukaenda sehemu ukakikuta kisha ukapewa kama sahani tatu ukazimaliza,nadhani hamu ya hicho chakula itakwisha lakini kama utapewa nusu sahani lazima hamu itabaki,na ukumbuke huyu anayekupa nusu sio kwamba hana, ana ghala nzima la hicho chakula, na kwenye mapenzi mambo yanafanywa kwa mipaka,lazima kuwe na mipaka ili pendo liendelee,sasa ukitoa yote ndugu yangu kesho si utakua huna jipya?
...kwenye mapenzi mambo yanafanywa kwa mipaka,lazima kuwe na mipaka ili pendo liendelee,sasa ukitoa yote ndugu yangu kesho si utakua huna jipya?
Maana nimejaribu kulichambua hili swala sipati jibu...nasikia tuu kwa watu na marafiki wa karibu na Mr. kuwa Duh, mmeo anakupenda sana. Sasa inakuwaje kwangu hanionyeshi! naombeni ushauri katika hili.
Kweli JF kuna mambo, makubwa haya sijawahi kuyasikia ati. Ehe hebu nihabarishe mengi nisoyajua nami!
Asante ndugu kwa kunifungua macho, kwa kweli nilikuwa naumia sana nikisikia haya mambo kutoka kwa marafiki zake...kumbe dawa na mimi nipunguze speed from 180 to 90! Je, sasa hapa natakiwa nifanye nini hasa!navyofahamu mimi haikatazwi kumuonyesha unayempenda pendo lako kwake, atakua anakuonyesha ila si kwa kiwango unachotaka wewe, ila dada Mrs 007 unapaswa ufahamu ndani ya mapenzi ili yaendelee kuwepo lazima uwe na mikakati ya upendo wako, ebu chukulia kama ni chakula mfano unachokipenda sana, ukaenda sehemu ukakikuta kisha ukapewa kama sahani tatu ukazimaliza,nadhani hamu ya hicho chakula itakwisha lakini kama utapewa nusu sahani lazima hamu itabaki,na ukumbuke huyu anayekupa nusu sio kwamba hana, ana ghala nzima la hicho chakula, na kwenye mapenzi mambo yanafanywa kwa mipaka,lazima kuwe na mipaka ili pendo liendelee,sasa ukitoa yote ndugu yangu kesho si utakua huna jipya?
Asante ndugu kwa kunifungua macho, kwa kweli nilikuwa naumia sana nikisikia haya mambo kutoka kwa marafiki zake...kumbe dawa na mimi nipunguze speed from 180 to 90! Je, sasa hapa natakiwa nifanye nini hasa!
Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. awe muwazi
2. awe na mda nami
3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. aniheshimu n.k
Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. awe muwazi
2. awe na mda nami
3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. aniheshimu n.k
Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
Kwa maana hiyo Kifaru huyu Mrs 007 amefanya yeye kosa kuonyesha penzi lake kwa huyo jamaa! au unamaanisha na yeye apunguze penzi? Kweli JF kuna mambo, makubwa haya sijawahi kuyasikia ati. Ehe hebu nihabarishe mengi nisoyajua nami!
.Kwa mfano
1. utakuwa muwazi
2. utampa muda kamili wa kukaa na wanaumme wenzake bila kupiga simu au kununa atakaporudi
3. Useme unachotaka bila ya kutumia mapenzi au kitendo cha mapenzi kupata
4. Ujue hali yake ya maisha na uweze kuishi ndani ya budget hiyo
5. Uwe muelewa na usijiachie i.e baada ya kuolewa usishinde kutwa na khanga mbili (ujitahidi kuleta "sex appeal"
kwi kwi kwi! unaujua mchezo wa DRAFT au SOLO? huu mchezo ukiwa ndani unacheza kete huzioni lakini wa pembeni hata wewe ukitoka nje ukakaa pembeni na kuangalia unakuwa unaziona sana kete na kusema dah umeiacha kete ile ilikuwa nzuri sana kuicheza hii ni sawa na mapenzi shemeji wa nje ndo wanao jua na kunotice mambo.
Safi sana kwa kunipa jibu zuri sana, sasa nadhani kama mmlalamikaji alivyosema hapo inawezekana yeye hapewi hiyo care atawezaje ku appreciate hapo sasa.penyy, hapana simaanishi kumuonyesha mwenzio upendo ni vibaya wala mrs 007,hajafanya vibaya ila tatizo alilokua nalo ni kwamba anaona sasa yeye anatoa sana kwenye mahusiano na hapohapo hakuna anacho receive,au ana receive kidogo than anachotoa, ebu angalia huu mfano:mtu anatakiwa akifanya kitu kwenye uhusiano basi kuwe na uwiano na mwingine anachofanya,ebu angalia mpigie simu mwenzio mara moja au mbili kisha msubiri yeye naye akupigie,hata hata kama ni mara moja lakini siku nyingine unamfanya akupigie mara mbili wewe unampigia mara moja,hutoweza ona kama hupendwi ila ukiwa unapiga kwa sana ndo utaona hupendwi,utahisi labda unajipendekeza, inakua ngumu kuweka mipaka ila ni nguzo moja tu inayoweza kukusaidia,jisemee moyoni ,kwani akiondoka ndo mwisho wa maisha yangu,ukiona unaogopa uje uko utumwani ndugu yangu, halafu kuna kingine lazima tukifahamu mwanaume na mwanamke ni vitu viwili viliyokua katika mila tofauti,na wote wana tofauti ya kuona jinsi wanapendwa,yaani vitu anavyoangalia mwanaume kama anapendwa ni tofauti na anavyoangalia mwanamke,lakini cha ajabu, vitu hivyo vinategemeana,mfano: mwanamke ukim-care anaona unampenda wakati mwanaume anataka appreciation,sasa ona mwanaume anayetoka safari kambebea mkewe zawadi,mwanamke lazima amu-appreciate jamaa,na jamaa anafeel lovely kwa ajili amekua appreciated,
hapo unakua ulimwengu wa lovely kwa kwenda mbele,ila penny sikushauri upunguze pendo lako kwa mzee ila cha muhimu uwe unajaribu kuweka vitu katika uwiano,