Kunasa simu za watu.!?

Kunasa simu za watu.!?

kwa nchi za wenzetu waliondelea ni kosa ambalo linaweza kukuweka matatani lakin pia inategemea na madhumni ya kunasa mazungumzo hayo,kwani hata huko pia kuna mazungumzo mengi huwa yanarekodiwa kwa ajili ya habari za kiuchunguzi. Hivyo inategemea sana mazingira yenyewe lakin unapolinganisha hapa kwetu ni kama unasahau au umepitiwa sisi hakuna sheria inayofanya kazi nchi hii,hata makosa ambayo tunayaona makubwa kabisa kama mauaji na aina ya uhujumu wa nchi watu wako nje na wanapeta bila shaka. Hivyo kwa lema hiyo sio issue
 
"Eavesdropping" kweli ni kosa kisheria, ila kwa vile siku hizi JF ni kama kijiwe cha chama fulani kupiga stori za uongo na kweli,... Hapa nna wasiwasi umekosea njia kwa kuileta stori inayomui implicate mmoja wa "HEROES" wao.... JF is NO LONGER what it used to be where we dare talk OPENLY without being labelled!
 
Mimi sipingi kuhusu swala la kuvuja kwa siri za watu ila sasa ivi kuna baadhi ya watendaji ni wazalendo ambao wakiona mambo yanaenda ndivyo sivyo inawabidi kuvujisha siri kwa maslai ya taifa.

Pia kwa upande mwingine njaa inachangia kwa baadhi ya watendaji wanapoona wakubwa wamepiga dili kimagendo wakati wao hawana kitu inawafanya kulikisha nyaraka ili nao waweze kupata kitu kidogo na mwanasiasa kulipua na kupata umaarufu iyo ndo hali halisi na haiwezi kuepukika kwa kipindi tulichonacho cha ufisadi, dhuluma, wizi wa mali za umma na mfumo wa vyama vingi.
 
Sababu kama ni ya kijinga sawa anaweza kushtakiwa lakini kwa suala la jinai kama hilo halina utata,hivi mtoa rushwa anaweza kukuruhusu uchukue ushahidi utakaomweka hatiani kwa ridhaa yake?
 
Back
Top Bottom