Kunani msimbazi?

pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
1,872
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
1,872 2,000
Watu wa kamati ya roho mbaya tuko wengi sanaaa siwezi kukutaji.
Kebehi za ajibu zi_google utaziona.

Ndoto ya kubeba CAF champions league tunayo na kama unamfuatilia Mo ndilo lengo letu haijalishi tutachukua lini, Zana ni mchezaji mzuri lakini hana consistency.
Mzamiru ni mchezaji mzuri sana hasa kwenye ligi ya ndani.

Msimu uliokwisha tulikuwa na malengo ya kuingia Group stages tukavuka hayo malengo, msimu huu tunayo ya kuingia Quarter final huenda tukaingia semi final kabisa au final usajili unaokuja si wakitoto.

Ajibu anauwezo mdogo ndio kuliko dilunga halina ubishi, ajib alivyokuwa Simba kasota sana benchi alikuwa reserve mmoja mzuri mno unajua kwanini? Kwa sababu Simba ina class A players kwa ligi yetu hii ya TPL na hata E.A nzima.

Sisi tunaanza kwa kuwa na kikosi bra na ghali wanafuata KCCA ya Kampala
Wewe jamaa naona sasa unataka tuu mabishano ya bure.
Kwanza zana ni mchezaji mzuri halafu hapo hapo hana consistency! ni mchezaji gani huyo?? Kamaliza msimu mzima bado tuu hana consistency??? mmh.

Mzamiru yule aliomvaa mtu kama mlevi kule sportpesa cup?
Kiungo hawezi hata kufanya pressing!
Position yake kumiliki mpira ni kiduchu!
Mwili mzito
Anapiga back pass
Hawezi hata ku secure line kati yake na mabeki!
Na huyo dilunga ni hivyo hivyo! Atapiga vichenga viwili vitatu kisha atapiga back pass! halafu eti unafananisha na mwanaume mwenye assist kumi na ushee! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kiungo wa ukweli awe defensive midfielder, attack midfielder, holding midfielder lazima uwe hivyo hao kina mzamiru watavitolea wapi? πŸ˜‚
Usitake nitaje madudu ya zana πŸ˜‚

Kuhusu hiyo CAF naomba niite ni kichekesho cha siku ya leo umenipa! final?? CAF? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huo ubora wa kikosi ea Africa nzima unaousema kwamba upo simba takwimu za wapi hizo?? Au za kwako kutoka mdomoni??

Halafu eti wanafuatia KCCA ya Uganda!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii ambayo ilicheza Kombe la CAF ndogo na kina mtibwa??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ajibu leo ni mbovu mbele ya dilunga!!

What a joke!
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,404
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,404 2,000
Jamani kwani mzee Kilomoni kwanini asitoe hati hiyo? Vyura wanatusumbua sana I see!!!
Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa shida.Wadau ufafanuzi plz mwenye uhakika na hili. Povu ruksa!!!!
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,404
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,404 2,000
Santee kwa taarifa murua kiongizi wangu.
Ajib hawezi kucheza Simba tena na hata ikitokea karudi kwa baba yake Simba misimu sita ijayo atakaa benchi tu.

Alafu ishu ya Mo kutokutoa pesa ni maneno ya mtaani tu (Tetesi) Gor mahia fans wamethibitisha Kahata si mchezaji wao tena wenye chuki wanamponda na wenye kumpenda wanampongeza .
group lipo facebook na hadi linatambuliwa na Gor mahia Fc kwa sababu linaendesha mashindano ya kupata mashabiki wataolipiwa tikiti n.k na Gor mahia official page wana_share.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,423
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,423 2,000
Huyo gabacholi anataka kuiteka timu kwa manufaa yake iliyokuwepo kwa miaka chungu nzima hata yeye hajazaliwa. Hilo la kuteka timu na kuifanya ni mali yake binafsi halikubaliki hata kama tutakipiga mchangani ni bora iwe hivyo.

Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa shida.Wadau ufafanuzi plz mwenye uhakika na hili. Povu ruksa!!!!
 
kodian

kodian

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Messages
979
Points
1,000
kodian

kodian

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2015
979 1,000
Heb kaangalie leo alivokua na sign Hazard madrid perez alkua anahangaika na makaratasi hvhv
Klabu gani hiyo ambayo kiongozi mkuu huwa anahangaika na mikaratasi kama anavyofanya mo?
Ushawahi muona Abromovich akifanya kitu kama hicho Chelsea ?
Acha kujifanya unajua
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,303
Points
2,000
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,303 2,000
Unasubiri mtafaruku eeeh....we ndo shabiki maandazi ambaye kila unachosikia mtaani na mitandaoni basi unaamini kweli...eti moodewji vitu anavyopost vinahusiana na simba....we sikihizi umekuwa mtaalamu wa kuingia kichwani kwa watu na kutafsiri anachowaza???or wewe ni mpiga ramli mzee baba???...fisi kawaida siku zote akiona mtu anatembea huwa linafuata nyuma likiwa linajua eti mikono itadondoka...TULIENI DAWA IINGIE VIZURI
Hatutampa timu gabachori hata kidogo tupo pamoja na mzee kilomoni
 
Mr Morogoro

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2019
Messages
539
Points
1,000
Mr Morogoro

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2019
539 1,000
Hatutampa timu gabachori hata kidogo tupo pamoja na mzee kilomoni
Apewe mara ngapi tena...ndo tushampa hivyo...kajinyonge sasa....alafu nyi mashabiki wa ombaomba fc mambo ya simba hayawahusu...kama mpo pamoja nae mchukueni aje hapo kwenye litimu lenu la makwasukwasu fc aungane na mzee akilimali wamsaidie kazi zahera πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ :D
 

Forum statistics

Threads 1,304,792
Members 501,517
Posts 31,527,141
Top