Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
Wewe jamaa naona sasa unataka tuu mabishano ya bure.Watu wa kamati ya roho mbaya tuko wengi sanaaa siwezi kukutaji.
Kebehi za ajibu zi_google utaziona.
Ndoto ya kubeba CAF champions league tunayo na kama unamfuatilia Mo ndilo lengo letu haijalishi tutachukua lini, Zana ni mchezaji mzuri lakini hana consistency.
Mzamiru ni mchezaji mzuri sana hasa kwenye ligi ya ndani.
Msimu uliokwisha tulikuwa na malengo ya kuingia Group stages tukavuka hayo malengo, msimu huu tunayo ya kuingia Quarter final huenda tukaingia semi final kabisa au final usajili unaokuja si wakitoto.
Ajibu anauwezo mdogo ndio kuliko dilunga halina ubishi, ajib alivyokuwa Simba kasota sana benchi alikuwa reserve mmoja mzuri mno unajua kwanini? Kwa sababu Simba ina class A players kwa ligi yetu hii ya TPL na hata E.A nzima.
Sisi tunaanza kwa kuwa na kikosi bra na ghali wanafuata KCCA ya Kampala
Kwanza zana ni mchezaji mzuri halafu hapo hapo hana consistency! ni mchezaji gani huyo?? Kamaliza msimu mzima bado tuu hana consistency??? mmh.
Mzamiru yule aliomvaa mtu kama mlevi kule sportpesa cup?
Kiungo hawezi hata kufanya pressing!
Position yake kumiliki mpira ni kiduchu!
Mwili mzito
Anapiga back pass
Hawezi hata ku secure line kati yake na mabeki!
Na huyo dilunga ni hivyo hivyo! Atapiga vichenga viwili vitatu kisha atapiga back pass! halafu eti unafananisha na mwanaume mwenye assist kumi na ushee! ๐๐๐
Kiungo wa ukweli awe defensive midfielder, attack midfielder, holding midfielder lazima uwe hivyo hao kina mzamiru watavitolea wapi? ๐
Usitake nitaje madudu ya zana ๐
Kuhusu hiyo CAF naomba niite ni kichekesho cha siku ya leo umenipa! final?? CAF? ๐๐๐
Huo ubora wa kikosi ea Africa nzima unaousema kwamba upo simba takwimu za wapi hizo?? Au za kwako kutoka mdomoni??
Halafu eti wanafuatia KCCA ya Uganda!!
๐๐๐
Hii ambayo ilicheza Kombe la CAF ndogo na kina mtibwa??? ๐๐๐
Ajibu leo ni mbovu mbele ya dilunga!!
What a joke!