ole moringe
Member
- Apr 11, 2013
- 27
- 17
wadau amani iwe nanyi......wakati tukiendelea kupata matokeo ya awali ni nini tatizo linakwamisha matokeo rasmi yasitangazwe?hakika uchaguzi huu pamoja na dosari zilizojitokeza imeichanganya serikali kwani hawakutarajia upinzani kama wangechukua vijiji,mitaa na vitongoji vya kutosha..naamini heshima sasa itakuwepo si baadhi ya wana ccm kuongea wanavyotaka kama vile walifunga agano na nchi hii...ama kweli nyota njema huonekana asubuhi,2015 sipati picha...mbarikiwe makamanda wote popote mlipo...