Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
tangu alipomtukana nyerere ndo ilikuwa ishara yake ya mwisho wa siasa zake za miemuko,
Asingekuwa lissu Bungeni uzao wako wa panya usingekula wali na kuku.
swissme
Watu wengi ikiwamo na wanajimbo wa singida mashariki wametabiri kuwa tundu lissu hatarudi.hiyo issue nimeconfirm mwenyewe na nimeshuhudia watu wakiyasema.
Watu wengi ndio wangapi? Hao watu wengi walikutana wapi kuongea habari za Lissu na wewe ukawasikia? Hao watu wengi ndo wamekutuma? Angalia kesho usije ukatuambia umekutana na dhahama watu wengi!