Mr. PriceKing Two pamoja sana mkuu somo nimelielewa vizuri, thanks guys i really appreciate.
Tangu nianze kutuma applications via Applynow button ya kwenye matangazo ya kazi za zoom sijawahi kuitwa kwenye interview hata moja...
Nimefanya online application nyingi sana kupitia ZOOM, hakuna hata moja niliowahi kuitwa hata kwenye Interview, je kuna aliewahi sembuse kuajiriwa kwa kuptia online application za ZOOM?