habarini za sasa wapendwa, mabibi na mabwana wa jumba la wafikiriaji wa hali ya juu?
mwenzenu nina langu linalokuna moyo wangu, nalo ni hili...
ni muda sasa nimekuwa nikijiuliza kunani katika vyoo vyetu hivi vya uswahilini? kwanini kuna masharti na vijimambo vingi kiasi hiki?
1. kuna vyoo ukiingia waambiwa utangulize mguu wa kushoto...
2. kuna watu wameshadondokea kwenye vyoo hivi, wengi wao ukichunguza utakuta hakuna aliyetoka salama..!
3. vyoo hivi hivi utakuta kuna imani nyingi ambazo nyingi huwa ni kishirikina shirikina hivi, kwanini?
nawasilisha!