B BURUTA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 639 Reaction score 824 Jun 30, 2023 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao.
Vandetta JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,613 Reaction score 1,981 Jun 30, 2023 #2 Update App then fungua tena
plock JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 468 Reaction score 516 Jun 30, 2023 #3 Wanazingua sana wamenifutia akaunti yangu wakaniwekea ambayo siitumii hizi update zao zinashida sana
Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,595 Reaction score 3,425 Jun 30, 2023 #4 Vandetta said: Update App then fungua tena Click to expand... Hizo updates ndo zinachangamoto
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,702 Jun 30, 2023 #5 BURUTA said: Kama kichwa cha hbr kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao. Click to expand... Mzee mpunga.wa.kufunga mwaka wa Serikali umeingia? 🤣🤣🤣
BURUTA said: Kama kichwa cha hbr kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao. Click to expand... Mzee mpunga.wa.kufunga mwaka wa Serikali umeingia? 🤣🤣🤣
Vandetta JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,613 Reaction score 1,981 Jun 30, 2023 #6 Engager said: Hizo updates ndo zinachangamoto Click to expand... Check your network connection, me natumia fresh tu.
Engager said: Hizo updates ndo zinachangamoto Click to expand... Check your network connection, me natumia fresh tu.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,562 Reaction score 14,628 Jul 1, 2023 #7 Shirika kama CRDB linakosa mtaalam wa IT. Sent using Jamii Forums mobile app
Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,595 Reaction score 3,425 Jul 1, 2023 #8 Vandetta said: Check your network connection, me natumia fresh tu. Click to expand... Kuna muda unataka kufanya muamala, unaingiza password fresh tu. Baada ya hapo kila ukijaribu kufanya muamala wako unaambiwa 'sorry! Operation failed, please try Again' yaani mtu unakuwa huna uhakika wa kukamilisha muamala wako ukiwa unatumia App.
Vandetta said: Check your network connection, me natumia fresh tu. Click to expand... Kuna muda unataka kufanya muamala, unaingiza password fresh tu. Baada ya hapo kila ukijaribu kufanya muamala wako unaambiwa 'sorry! Operation failed, please try Again' yaani mtu unakuwa huna uhakika wa kukamilisha muamala wako ukiwa unatumia App.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,152 Jul 1, 2023 #9 pwilo said: Shirika kama CRDB linakosa mtaalam wa IT. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtenga kwani kastaafu?
pwilo said: Shirika kama CRDB linakosa mtaalam wa IT. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtenga kwani kastaafu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,479 Reaction score 185,088 Jul 1, 2023 #10 Inasikitisha sana...
Daviie JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,292 Reaction score 1,482 Jul 9, 2023 #11 Hata nmb mkononi inasumbua kinoma sijui wanakwama wapi ?
A Father JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 1,385 Reaction score 601 Dec 9, 2023 #12 Nimetembelea jiji la Tanga leo, CRDB ATM za matawi yao hazitoi huduma wala huwezi kutumia VISA kadi kupata huduma kwenye ATM za benki nyingine
Nimetembelea jiji la Tanga leo, CRDB ATM za matawi yao hazitoi huduma wala huwezi kutumia VISA kadi kupata huduma kwenye ATM za benki nyingine