Kuna watumishi wengine nchi hii wanadhulumiwa

Kuna watumishi wengine nchi hii wanadhulumiwa

Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako
Pole kichwa kinashinda shughuli za umma hazifanywi na kipato cha mtumishi, kwani mwalimu si kaajiliwa kwa kujibu wa sheria kwani yeye kaajiliwa kwa hisani . Mawazo yako ndio mgando na huwezi kujua unaathirika vipi pengine huko kwenye mfumo taafakari kisha jengo hajo sio madharau
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako pm
Mawazo Yako ni ya kijinga sana.
 
Mwalimu bwana kwaiyo unataka uisaidiaje nchi yako serikali imekupa ajira, imekupa kishwambi inakupa mshahara wewe kuweka bando la buku mbili tu unahisi umeonewa acha mawazo mgando some times vitu vidogo vidogo unapotezea unaangaliq utareplace wapi siyo kupiga kelele kwa vitu ambavyo haviathiri maisha yako
mwambie wengine hatujui hata rangi ya kishukwambi na tunafanya kazi kulingana na mazingira yetu
 
Back
Top Bottom